Hivi kuweza kumprote kenge kama Lema unatakiwa uwepo kwenye kundi la binadamu kweli?Pro-CCM wana IQ ndogo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuweza kumprote kenge kama Lema unatakiwa uwepo kwenye kundi la binadamu kweli?Pro-CCM wana IQ ndogo sana
Chadema ndio wanawalipaMshahara wa Pacome na Chama unalipwa na CCM...
Jifunze kuandika kwanza ndipo uje kutoa uharo wako hapa.Kenge manakesha kulaumu tu ,alili zenu kama sisimizi
Kwa hakika Rais Samia Anastahili pongezi sana kutoka kwa jumuiya ya wanamichezo.maana ameleta chachu kubwa sana na hamasa ya kipekee sana katika michezo tangia ameingia madarakani.kwa kuwa kwa sasa wachezaji wanapambana sana wawapo uwanjani ili waweze kupata zawadi ya mama ya pesa taslimu.
Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe,maana kila awekapo mkono ni lazima pafanikiwe.mikono ya Rais Samia imebarikiwa na kupewa kibali na Mungu mwenyewe na ndio maana akiweka tu mkono wake mahali popote pale ni lazima ushindi wa kishindo upatikane.ndio maana kama Taifa ni washindi katika kila kitu kinachojitokeza mbele yetu.
Hongera sana Rais Samia umekata kiu ya watanzania ya kutaka kuona tunapata timu mbili hatua ya robo fainali.
Chadema ndio wanawalipa
Heri kuwa na kenge na ukam-promote kuliko kuwa na CCM asiyejielewaHivi kuweza kumprote kenge kama Lema unatakiwa uwepo kwenye kundi la binadamu kweli?
Tulijua tu ,kenge mlivyo na matusi
hili hawataki kusikia kenge hawaHongera pia kwa ukosefu wa maji, sukari, umeme na Us Dollars.
Jitahidi sana watu wasijue kama HUNA AKILIKenge manakesha kulaumu tu ,alili zenu kama sisimizi
Ndio maana siwezi shabikia kenges kama Lema na kundi lake ,hivi na wewe unajiita akili kubwa ehe?Jifunze kuandika kwanza ndipo uje kutoa uharo wako hapa.
Hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga?
Ungekuwa na akili ungemshabikia mbuzi kama Lema na saccos ya binamu yake ?Jitahidi sana watu wasijue kama HUNA AKILI
Nyie kenge mbona mmeacha kuandamana? Kuna yule kenge anaita wafuasi wake kuwa wanakula chakula cha masikini(UGALI)hili hawataki kusikia kenge hawa
Una bahati saan leo niko kwa mood ya kujibu wajinga kama nyie, siku hizi huwa sijibishani na ngedere kama nyie, huwa naweka kwa ignore list tuUn
Ungekuwa na akili ungemshabikia mbuzi kama Lema na saccos ya binamu yake ?