Hongera sana Rais Samia kwa kupeleka timu mbili CAF

Nilitaka nitukane lakini kumbe jina lako ni chizi tayari inatosha
 
Hizo ndio habari anazopata haraka mpira ukiisha tu mambo yakiwa mazuri kama namuona embu nileeteni simu yangu mbio kurusha tweet.

Akiambiwa habari za umeme, sukari, sijui maji,; ebu watafuteni mawaziri wajibu. Hayo mambo hataki kusikia kabisa wala kuyaongelea.
 
Mama ana baraka,beema na upako. Mwenyezi Mungu azidi kumpa maarifa,hekima,busara na mwongozo.
 
Mlivyo Walaanifu na mnavypenda shirki kuna siku mtasema Hongera Mh. Kwa jua kuchomoza maana mtu akishalaanika na akitaka kushibisha tumbo lake hana haya wala kumshirikisha Allaah kwake sio jambo kubwa.
 
Sasa unataka aongelee mambo asiyoyajua?
 
Tanzania ina maChizi wengi sana. Comrade, fanya kujipiga kifua. Maana mko wengi sana.
 
Kaziwezeshaje hizi timu mbili? Umetumwa kumpigia kampeni?
 
Labda uwe umeandika hii kitu kwa utani tu ila ikiwa upo serious we mpumbavu wa kiwango cha hali ya juu kupitiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…