Hongera sana Rais Samia kwa kupeleka timu mbili CAF

Uliona kilichotokea Fainali za CAF?
Huu uzwazwa wa kumpa sifa hata pasipostahili.
 
Hongera nyingi kwa rais na CCM kufanikiwa kuleta mafuriko kule Hanang na kubomoa nyumba zao na kuamua kuwajengea mpya.
 
Angalau ungejitahidi kwanza kunoa ubongo wako na kufatilia huo mchezo vizuri kabla ya kuleta uchawa. Hiyo Fainali waliyoingia ni ya ligi ipi!? Mama yako alifunga goli la ngapi au alichangia kitu gani!? Wapumbavu wanazidi kuongezeka aisee.
 
Chini ya Rais Samia hakuna sekta iliyodorola,Kila sehemu ni mafanikio na vicheko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…