Hongera sana Rais Samia kwa kupeleka timu mbili CAF

Jinga lingine hili, hiyo 10M kwa goli kwenye football ndo mchango!? Unajua Bonus na gharama zinazotumika kuendesha team? Hizo bonus zimezisaidia nini Azam na Singida FG zilizokuwa sirikisho? Na zimeisaidia vipi Team ya CCM Taifa Stars?
 
Labda kama unasndikw kwa kejeri. Lakini kama uko serious wewe ni bure. Bora nduguzo wabadirishane na gunia la mahindi kuliko kubaki na wewe.
 
 
Mama ameupiga mwingi mpaka unamwagika!
 
hongera kwa ccm pia,kwa kupeleka timu 2 afrika
Naomba ushindi huu usihusishwe na chama chochote cha siasa sababu miaka mingi vyama vimekuwepo lakini mafanikio hamna, mpaka wakati fulani tulionekana kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunza kunyoa. Mama hoyeee! Nani kama mama?
 
Chawa mna mambo ya kitoto sana, kwahiyo miaka yote ambayo hizo team haziingii huwa ni rais anazizuia?
 
Dah![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hongera ccm kwa kuwafanya Watanzania kuwa masikini na kupandisha bei ya sukari,mama anaupiga mwingi.
 
Hata km uchawa. Umezidi
Hizo ni timu zinazojiendesha zenyewe.
Angepongezwa kwenye timu ya taifa na siyo club ambazo tayari zina mafanikio
 
Ama kweli machawa ni machawa tu!
Amehusikaje hapo huyu Mama enyi viumbe mnaowaza kwa kutumia kitu tofauti na kichwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…