Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

Sijuwi Watanzania tumelogwa na nani aisee. Yani watu wanasifia ujinga kama huo. Kwa hali hiyo ya ulinzi ina maana nchi sio salama kwa mkuu. Kwa nchi kama yetu kusingetakiwa hata mkuu awe na mlinzi, zaidi angekuwa na mtu wa kumshikia mikoba tu. Hali ya nchi ni mbaya kwa hali hii.
 
... Haya tumesikia kuwa wewe ni mwanasheria, mbona juzi kwenye mkutano wetu wa dharura wa TLS sijakuona?
1.Siyo kila mwanasheria ni member wa TLS.
2.Siyo kila mkutano wa TLS lazima kuhudhuria.
3.Tundu Lissu anaitisha mkutano ku influence hoja zake za Chadema. I hate TLS. Let it remain as NGO, an optional association.
4.TLS is rendered useless.Let it die natural dealth.
Note: Fani yangu ndo hiyo, sheria. Hata hivyo kitaaluma mimi pia na MWANAFALSAFA.Nimesoma Falsafa kwa miaka 3.
 
Mkuu sio TISS tu, sasa hadi Takukuru wanatisha aisee. Karibubkila idara inapiga kazi. Uhamiaji nayo imeamka. TRA wanjitahidi lakini bado kuna wafanyakazi wachafu kidogo hawajaisha.
Hata zama za JK TAKOKURU walipeleka watu mahakamani,issue ni je WALIKUWA WANASHINDA?HADI SASA BADO HUWEZ KUSEMA WANAPIGA KAZI,subiri uone hizo kesi watashinda?
 
n
Syo vizuri kuzungumzia masuala ya ulinzi wa Rais....Ila fahamu tu kwamba TISS (ambayo ipo kisheria) ndiyo wahusika wakuu wa masuala ya ulinzi...TISS ina idara nyingi ikiwemo PSU (Presidential Security Unit) ambao ndio wanaohusika na masuala ya ulinzi..Tuishie hapo tusiendelee...Haya ni masuala nyeti siyo vizuri kuyajadiili humu...Ila duniani kote kila nchi kuna vikosi vya ulinzi wa viongozi wao wakuu....Vikosi hivyo huwa na mafunzo makali.
Masuala ya Ulinzi wa rais ukienda YOU TUBE unayakuta tu huko na wataalam wanaeleza namna walivyofanya kaz kumlinda rais wa marekani,punguzeni taboo
 
Sawa ' Mr. Kaunda Suit ' na nimekuelewa japo hapo mwishoni ulipoandika ' You're listening too slowly ' sijakuelewa Mkuu na kama ukinitafsiria kwa Kiswahili nitakushukuru sana kwani mwenzako nilikimbia ' umande ' miaka hiyo.
Usijali kuna watu wana PhD na hawajui inglish
 
Wanachunguza tena kwa kina,ila matokeo ya uchunguzi hayaletwi kwako,ila mkulu ni lazima ayapate,si unasikia anawaambia wanasiasa waache kuropoka mambo wasioyajua?
Tangu kufa raia wa 1 hadi 30s bado wanachunguza?
 
Sorry,mnaipongeze TISS kwa kuimarisha ulinzi kwa rais? (Maana ni jukumu lao) au kwa ajili ipi yaani?Maana hata JK alilindwa kwa hali ya juu pia
 
Mkuu hao jamaa wanafanya kazi tukufu sema tu ndio hivyo hawatangazwi, kazi nyingi na nyeti kwa nchi hii wanafanya lkn sifa zinakwenda kwa wengine maana maadili hayaruhusu kutangazwa, hata huko nyuma walifanya lkn mchukua maamuzi aliwaangusha hivi hamjiulizi ile orodha ya madudu bandari aliyokabidhiwa PM Majaliwa pale bandari ilitoka wapi? ilikuwepo mezani kwa mtu tayar lkn ndio hivyo tena hakuna wakumlazimisha achukue hatua ndio maana nashauri Sheria ya TISS ifanyiwe marekebisho hawa jamaa wapewe meno mtaona mambo yatakavyokuwa good maana sheria ya sasa inawawajibisha chini ya Rais so akitokea Rais asiyechukua hatua vitu vyao vingi vinabumia mezani kwa Rais..
Ndugu hayo una uhakika nayo?Nakukumbusha sakata la unga wa masogange miongon mwao walitajwa kwa kuchelewesha mbwa kwenda sehem husika
 
1.Siyo kila mwanasheria ni member wa TLS.
2.Siyo kila mkutano wa TLS lazima kuhudhuria.
3.Tundu Lissu anaitisha mkutano ku influence hoja zake za Chadema. I hate TLS. Let it remain as NGO, an optional association.
4.TLS is rendered useless.Let it die natural dealth.
Note: Fani yangu ndo hiyo, sheria. Hata hivyo kitaaluma mimi pia na MWANAFALSAFA.Nimesoma Falsafa kwa miaka 3.
Sasa ndio napata picha halisi ni kwa nini Tanzania ni maskini, ati hawa ndio wasomi wa Tanzania na bado mtu anaota nchi hii inaweza kupata maendeleo kwakuwa na wasomi wenye kaswende ya ubongo kama bwana huyu?

Mungu akurehemu tu.
 
1.Siyo kila mwanasheria ni member wa TLS.
2.Siyo kila mkutano wa TLS lazima kuhudhuria.
3.Tundu Lissu anaitisha mkutano ku influence hoja zake za Chadema. I hate TLS. Let it remain as NGO, an optional association.
4.TLS is rendered useless.Let it die natural dealth.
Note: Fani yangu ndo hiyo, sheria. Hata hivyo kitaaluma mimi pia na MWANAFALSAFA.Nimesoma Falsafa kwa miaka 3.
... Dah mwanasheria ambaye siyo member wa TLS ni mwanasheria mchanga sana, ndo maana umedandia tena fani nyingine. Lissu huo urais si mwaka mmoja tuu mbona Mnalia lia sana as if amekuwa life president?
 
Wasonga hadi huku anakuja na alias

Wanasheria ninewashusha dhamani sana ..watu kama...mwakyembe na vibaraka wao wanakubali kuisaliti fani yao inayowapa...ugali..wakati kesho baada ya siasa familia yake itaendelea kuishi kwa mapato ya uwakili ???
Usaliti mbaya sana
 
Back
Top Bottom