Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

Binafsi nimemuona wa ovyo baada ya kupendekeza wanaojitolea ndio wapewe kipaumbele kwenye ajira
 
Mkuu Paschal Mayala
Nakusahihisha Kidogo Tu Naamini Shida Ipo Kwa Wabunge Wachache Wa Ccm Haiwezekani Hata Kama Sifa Ya KK Mbili Ndiyo Apeleke Bwawa Liwale

SPIKA Ampeleke Mbunge Mirembe Mental Hospital Dodoma Apimwe Afya Ya Akili
 
Angekuwa msomi mwanasheria asingekaa na wabunge wasiokuwa na Chama, Kwani hapo hajui kuwa wako humo kinyume Cha sheria? Labda sifa kuu aliyo nayo ni sifa ya rubber stamp.
 
Umesema kweli aisee!
 
Binafsi nimemuona wa ovyo baada ya kupendekeza wanaojitolea ndio wapewe kipaumbele kwenye ajira
Umeona, hajui wanaojitolea ni watoto wa wafanyakazi wa taasisi husika? Wakati wengine wakiomba kujitolea hapohapo, wanaambiwa sheria hairuhusu!!!

Sasa kama simple, situation analysis kama hii inampiga chenga!!!, vipi mamsuala mengine, labda sababu ya one man party bungeni.
 
Ni kama huko akilini mwangu, nadani vitu vibgine wasiwe wanarusha hewani anapenda kubishania vitu vidogo sana.
 
Bora spika= Kimbunga Jobo?
Bado hujasahau tu alivyokuita ukajieleze?
 
I'd yako ni mamasamia so ningeshangaa kama ungeandika tofauti
 
Labda Jobo Ila mama makinda kashafanya sana rejea suala la Sugu na mzazi mwenzie lilivyotinga bungeni
 
Sasa hapo kwenye maneno ya Tulia mbona sijaona hata neno moja la kisheria?

Naona umejisikia kumsifia huyo Tulia tu na ni haki yako kufanya hivyo ila siyo kisa ni mwana sheria.
Utulivu na reasoning wako wa kujadili kitu, jinsi ya kuendesha chombo, Speaker siyo anatakiwa kutumia kanuni bali mila, desturi na busara.
 
Kufahamu jiografia ya mahala fulani haihitaji MTU kuwa na elm ya sharia bro. Labda unajifagilia kwakuwa wewe pia ni mwanasheria.
 
Mwanafunzi umezeeka kuliko mwalimu wako!!!
No, mimi nimemzidi Mwalimu wangu almost 10 years!. Ile 1990 wakati naanza kazi RTD, nikiwa nimeisha maliza O level i 4 years, A level 2 years, JKT, 1 Year, Diploma ya Journalism 2 years!, yeye alikuwa bado primary!. Hivyo Mwalimu wangu kiumri ni mdogo wangu sana!.
Hata hapa nilimsalimia kikawaida tuu na yeye kunijibu marahaba, it's as if nimemuamkia shikamoo mtu niliyemzidi 10 years!.

P
 
Nini kazi ya Spika ? Na Spika ni Jeshi la mtu mmoja au ana timu ya wabobebezi kwenye ofisi yake kwa ushauri wowote anaotaka na hata asioutaka....,
Kazi ya Spika ni Mkuu wa mhimili, ana wasaidizi, ana washauri lakini kwenye kufikia maamuzi ni yeye kama yeye.
Binafsi naona she is just a rubber stamper na hilo lina-dilute kazi yoyote nzuri anayoweza kuifanya
Hili la Spika kuwa a ruber stamp, lilikuwepo hadi kuliandikia makala 3, three series 1
https://www.jamiiforums.com/threads...s-linaweza-kweli-kuisimamia-serikali.1426147/ 2. https://www.jamiiforums.com/threads...ajibu-wao-check-n-balance-itoke-wapi.1315590/
3. https://www.jamiiforums.com/threads...-tukufu-linajipendekeza-kwa-serikali.1429356/
Zilizo nipeleka kuitwa Dodoma kuhojiwa mbele ya kamati ya Bunge ya maadili.
ukizingatia tunaamini kwenye illusion ya Separation of Powers
It's true kwa mfumo wetu wa Mkuu wa Mhimili wa Serikali ni sehemu ya Bunge na sehemu ya Mahakama, Separation of powers ni just an illusion!. https://www.jamiiforums.com/threads...aration-of-powers-nothing-just-a-myth.764217/
Nimeongelea part ya uzi wako pekee hayo mengine nimeachana nayo sababu naona siku hizi kuongelea issue kumekuwa diluted na sifa, kusifia na uchawa
It's true na ndio maana kila nikibandika bandiko lolote la kusifia jambo lolote, naweka na rejea zangu za critics ili kunitofautisha na machawa waliotamalaki humu!.
P
 
Uchawa uchawa uchawa
Mkuu Kilimbatzz kuna kusifu bonafide genuine na kusifu kwa uchawa . Kusifu bonafide genuine ni kusifu panapostahili sifa, ila siku huyo aliyesifiwa anapo boronga, unamkosoa, machawa ni kusifu tuu, akiboronga wananyamaza kimya!.
Naomba nikuwekee nyuzi zangu 5 tuu za Tulia
  1. https://www.jamiiforums.com/threads...dugai-japo-atatamani-aendelee-lakini.1668860/
  2. https://www.jamiiforums.com/threads...a-spika-bora-au-bora-spika-kama-kawa.1948970/
  3. https://www.jamiiforums.com/threads...ya-kuwa-spika-bora-sana-hongera-sana.1950895/
  4. https://www.jamiiforums.com/threads...uma-unataka-nini-kwanini.971859/post-14603200
  5. https://www.jamiiforums.com/threads...a-wa-tulia-ackson-ni-upi.975629/post-14666604
Sasa angalia ni mabandiko mangapi nimesifu na kukosoa?. Mtu kama huyu unaweza kumuita chawa?.
P
 
It's true hiki kilikuwa ni kichekesho, ila kinamuhitaji mtu makini kubaini hilo!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…