Wale wauwaji wa Assad sasa hivi wao ndio wanashughulikiwa na wameanza kusema walipokuwa wakizika miili ya wananchi.kwahiyo amevaa hidden bullet proof vest hadi kwenye kijambizi, right?π
Kweni wewe umezaliwa na nguo? Mungu amekuleta hapa Duniani kwa uwazi.eti muwazi π€£
atembee uchi basi kama kweli muwazi,
anavaa bullet proof vest utadhani anakwenda doria π€£Wale wauwaji wa Assad sasa hivi wao ndio wanashughulikiwa na wameanza kusema walipokuwa wakizika miili ya wananchi.
Na ninyi zamu yenu itafika tu.
ndiyo,Kweni wewe umezaliwa na nguo? Mungu amekuleta hapa Duniani kwa uwazi.
anavaa bullet proof vest utadhani anakwenda doria π€£
kibaraka bana π€£
nani wa kubabaika na mtu wa mdomo kama yule bana π
Hivi intelijensia ya CHADEMA ni kali kuliko ya serikali?Jiwe angemtaka TAL Ili ammalize angemkaribisha juice tu kunako magogo wala asingetumia mfumo wa Vita πππ
Hii ni kule kule isikoonjwa sumu
Ungetoa mfano wapi ambako watu wawazi wanatembea bila nguo?ndiyo maana kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anachekesha kuvaa bullet proof vest ya kizamaniiiiiiii kama sijui wanamgambo wa Hamas π€£
eti muwazi π€£
atembee uchi basi kama kweli muwazi,
hana uwezo wa kuipata lakini pia saizi yake Lazima akapimwe kiwandani,
Felix Tshekedi wa DRC, iliwahi kumbana alimanusura awe no more π
Mke wake si hayupo Tanzania? Acheni adowee, ila ale tu kwenye sinia moja na wenyejianavaa bullet proof kama wanamgambo wa janjawid dah,
kweli anawajibikia usalama wake.
lakini masuala ya kudoea kula chakula kwa watu kila siku ni tabia mbaya,
si ule nyumbani kwako na mke wako?π
anae mzungu πMke wake si hayupo Tanzania? Acheni adowee, ila ale tu kwenye sinia moja na wenyeji
Mkishaua Upinzani na kelele mtatolewa kama Assad.wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa Chadema wana kazi nae Jan 22,2025, ili iwe fundisho kwa wenye midomo na makelele wote duniani π
labda ungemuuliza huyo muungwana ambae ndie mwenye oni kwamba Lisu kuvaa bullet proof vest ya doria ni uwazi πUngetoa mfano wapi ambako watu wawazi wanatembea bila nguo?
hakuna mauaji yatakayofanywa na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa Chadema, ila ni kumshikisha adabu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi πMkishaua Upinzani na kelele mtatolewa kama Assad.
Nenda kampokee Sultani wa Kiarabu Mama keshawauza Utumwani.ππkibaraka wa mabwenyenye ya magharibi
Jiwe mnampakazia tu. Dili lilikuwa la ndani ya chama chake na huyo huyo wanayepambana naye sasa.Pana watu wanasikitika jiwe alimkosakosa.
kwamba chairman Mbowe ndiyo wakumfuturisha mtu alie changiwa mamilioni ya fedha?Kwani Samia huwa hafuturushi?
Gentleman,
hakuna anaevaa bullet proof vest kama ya Lisu katika nchi ulizotaja, acha upotoshaji,
huenda uliona bodaboda wamevalia vizuia upepo ukadhani ni bullets proof vest,
Infact,
hata ya Lisu sio bullet ni kizuia upepo tu kama vya maafisa usafishaji wa bodaboda kitu ambacho ni useless na completely nonsense.
Kwa technolojia ilivyokua sasa unaweza kuvaa bullet proof vest hata adui yako asijue umevaa bullet proof vest.
sasa unapomuonyesha adui yako kwamba uko tayari kwa mapambano unamaanisha nini kama sio fursa na nafasi ya kukumiminia risasi kwnye kijambizi?π
Jiwe mnampakazia tu. Dili lilikuwa la ndani ya chama chake na huyo huyo wanayepambana naye sasa.