No hajakwepa!,aliyekwepa ni aliyealikwa ama akaenda halafu hakula,ama hakwenda ili kukwepa sumu。Lakini hapo TL hakualikwa hivyo hajakwepa!。
P
Yaani amekuwa mbeya sijawahi kuona mwanamme mzima kujadili mwanamme mwenzako kama vile amekutombea mke. Wewe angalia tu utamwona.Usikute mwenyewe hapo ni mdada, binti kiziwi au nasema uongo?
Yes,
ni mbele kidogo ya buseresere gentleman
that's trueHusuda mkuu, walipo wanasikitika mno kuwa kwanini dodoma hakufa mumiani wahedi hao!
MKuu Blaza Jei, brazaj , asante kwa bandiko hili Hongera Tundu Antipas Lissu kwa kutambua usalama wako unawajibika nao wewe mwenyewe, wengine wote hawaaminiki!Kwamba alisikika Wenje, kutokea Arusha Lissu aliugua sana tumbo! Kwa maneno yake kuwa: "alikuwa ana drive."
Bila shaka alichokula Lissu alikula na wenziwe. Sasa kumbe vipi "food poisoning" kumuathiri mmoja tu katika kundi?!
Ogopa sana kanda ya ziwa na ile nyongo pendwa ya mamba!
View attachment 3187256
Kwamba alishambuliwa Lissu Dodoma? Kwamba alinusurika kwenye shambulizi lile? Kwamba leo ndiyo kejeli zao hizi?
Kumbe kwanini yasiwepo mawazo kuwa si angekuwa alijifilia mbali kwenye shambulio lile? Labda kwa jinsi ile ile ya kile chama chakavu?
Kama wishful thinking zao ndiyo hizi kulikoni kum exempt nani wapi?
Usalama wako kwanza kamanda, watu si wema.
Wanasema: "usoni kama watu."
Japa naunga mkono hatua zozote mtu yeyote anazozichukua kulinda usalama wake,kwa mtu kuwa security conscious,ndio maana niliwalaumu kutochukua hatua madhubuti kulinda viongozi wake,Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
Lakini kauli hiyo ni moja ya kauli zake ropo ropo zinazomuonyesha alivyo na upungufu wa busara kumchafua Mbowe kuwa ni muuaji anaweza kumuua kwa sumu!。
Japo Mbowe aliishia Form IV na alipata ile divisheni ya vijana,lakini Mbowe sio kilaza,sio kichaa,sio mwendawazimu,hata kama kweli ni muuaji wa kichini chini, hawezi kufanya ujinga wa kupanga kumuua lissu,amualike nyumbani kwake, amuandalie chakula halafu akitilie sumu ampe Lissu sumu nyumbani kwake!。 Nasema big no!。
Hata ile siku anarudisha fomu,kitendo cha kwenda huku amevaa bullet proof ni mockery kwa Chadema wasije kumuua!。
Anachofanya Lissu ni utovu wa shukrani kwa Mbowe kwa jinsi alivyomtesekea kuokoa maisha yake。
Lissu apunguze u ropo ropo ili angalau apate kura mbili!, vinginevyo...
P
kuvaa bullet proof vest juu ya shati ni dalili ya uchizi, sio uwaziWanasiasa na Maraisi karibia wote wanazivaa hizo vest ndani ya suti zao Mapolisi wanavaa Walinzi wa Garda Group4 nk. Wanavaa.
Tundu Lissu angeweza kuivaa hiyo kevlar ndani ya Suti kificho lakini Lissu ni muwazi
Anaivaa juu ya shati.
Kawadanganye huko Bahi hapa ni JF
Hizo wanazivaa viongozi wanaoenda kuongea na wanajeshi wao walioko vitani huko iraq,View attachment 3187328
Senetor Graham mwenyewe kapigilia Body Armour.
Wewe karoho kako ka kimasikini tokea asubuhi unaongelea tu Lissu Lissu..
kuvaa bullet proof vest juu ya shati ni dalili ya uchizi, sio uwazi
Labda kama ingekuwa wapiga kura ni watu wenye akili za binadamu, lakini kwa hawa nyumbu, usitarajie chochote! Kazi iliishaisha Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!Kwani hudhani hili goma lilipo, muda hauko kabisa upande wa mwamba?
Kwani hata score board kuelekea dakika za majeruhi Mbowe VS Lissu, yahitaji miwani kuona jahazi lipi linakwenda mrema?
Labda kama ingekuwa wapiga kura ni watu wenye akili za binadamu, lakini kwa hawa nyumbu, usitarajie chochote!.
P
Hizo wanazivaa viongozi wanaoenda kuongea na wanajeshi wao walioko vitani huko iraq,
Hahahah daah jamaa umemchambaWanasiasa na Maraisi karibia wote wanazivaa hizo vest ndani ya suti zao Mapolisi wanavaa Walinzi wa Garda Group4 nk. Wanavaa.
Tundu Lissu angeweza kuivaa hiyo kevlar ndani ya Suti kificho lakini Lissu ni muwazi
Anaivaa juu ya shati.
Kawadanganye huko Bahi hapa ni JF
Sawa. Ila nyongo ya mamba siyo sumu.Kwamba alisikika Wenje, kutokea Arusha Lissu aliugua sana tumbo! Kwa maneno yake kuwa: "alikuwa ana drive."
Bila shaka alichokula Lissu alikula na wenziwe. Sasa kumbe vipi "food poisoning" kumuathiri mmoja tu katika kundi?!
Ogopa sana kanda ya ziwa na ile nyongo pendwa ya mamba!
View attachment 3187256
Kwamba alishambuliwa Lissu Dodoma? Kwamba alinusurika kwenye shambulizi lile? Kwamba leo ndiyo kejeli zao hizi?
Kumbe kwanini yasiwepo mawazo kuwa si angekuwa alijifilia mbali kwenye shambulio lile? Labda kwa jinsi ile ile ya kile chama chakavu?
Kama wishful thinking zao ndiyo hizi kulikoni kum exempt nani wapi?
Usalama wako kwanza kamanda, watu si wema.
Wanasema: "usoni kama watu."
Huyu ni skulumeti wangu, kweli ni ropo ropo Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?Kumwita huyu ndugu ropo ropo,
Sawa. Ila nyongo ya mamba siyo sumu.
Huyu ni skulumeti wangu, kweli ni ropo ropo Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
P
Kwa sasa wapo wengi hata Mbowe mwenyewe na wapambe wake wana wish jamaa angekufa na hii imekuja baada ya kugusa maslahi yao. Ila kwa wakati ule ile show ilikuwa 100% dola. Ila kwa ishu ya Mzee Kibao naweza kuamini kuwa ilikuwa colabo ya dola na wanufaika wa hela ya Abdul ndani ya Chadema, hawa walitoa code na dola ikafanya finishing.Hebu tuwe impartial kidogo:
Hudhani leo pana waliomo na wasiokuwamo wenye wishful thinking za kuwa huyu ndugu lile shambulio kama vipi kile kikombe Bora angekinywea?
Unadhani aina za kina Wenje, Yeriko au hawa wenginewe wanaomnenea maneno magumu mwenyekiti mtarajiwa huyu, mawazo ya kumwonjesha sumu hayapo? Kwamba wana lipi jema naye?
Kwamba ni kipi alichowatibua chawa hawa kiasi cha utu kuwatoka na kuuvaa uhayawani hata wa kuchuliana vifo?
Ninakazia hawa ndugu hawaaminiki!
Kwa sasa wapo wengi hata Mbowe mwenyewe na wapambe wake wana wish jamaa angekufa na hii imekuja baada ya kugusa maslahi yao. Ila kwa wakati ule ile show ilikuwa 100% dola. Ila kwa ishu ya Mzee Kibao naweza kuamini kuwa ilikuwa colabo ya dola na wanufaika wa hela ya Abdul ndani ya Chadema, hawa walitoa code na dola ikafanya finishing.