Hongera Tundu Antipas Lissu kwa kutambua usalama wako unawajibika nao wewe mwenyewe, wengine wote hawaaminiki!

Hongera Tundu Antipas Lissu kwa kutambua usalama wako unawajibika nao wewe mwenyewe, wengine wote hawaaminiki!

Ale kwake, na avae bullet proof mwili mzima, alale uvunguni sawa tu.
 
Una maana uweke vizuizi visivyojulikana Ili ufanyiwe shambulizi kuwa prove wame-noa?

Kama ndivyo polisi walinda benki kumbe wangejificha wavunge kufa hakuna mlinzi?
gentleman,
kwahiyo Lisu analinda benki au yuko doria,right? :pedroP:
 
Jiwe angemtaka TAL Ili ammalize angemkaribisha juice tu kunako magogo wala asingetumia mfumo wa Vita 😂😂😂

Hii ni kule kule isikoonjwa sumu
Shambulio la Lissu ile dola moja kwa moja,Mbowe ana uwezo gani kuwaondoa askari waliokuwa na wanalinda makazi ya viongozi na kwenda kuharibu ushahidi uliorekodiwa na camera za usalama? Hizi hoja nyingine uwe unajiuliza mwenyewe maswali ya Msingi. Na ni Mbowe aliyezuia uchunguzi wa tukio hili ambalo.limeitia doa serikali? Shambulio la Lissu ilikuwa amri ya Magufuli na mtekelezaji akiwa Makonda kusimamia show yote.
 
Wanasiasa na Maraisi karibia wote wanazivaa hizo vest ndani ya suti zao Mapolisi wanavaa Walinzi wa Garda Group4 nk. Wanavaa.

Tundu Lissu angeweza kuivaa hiyo kevlar ndani ya Suti kificho lakini Lissu ni muwazi
Anaivaa juu ya shati.

Kawadanganye huko Bahi hapa ni JF
Bahi karibu na Kintinku ??!
😅😂
 
Ungeleta ushahidi usiokuwa na shaka ingependeza zaidi ndugu mjumbe kutokea chama chakavu!
Wewe unayemtuhumu jiwe una ushahidi gani?
Kwa taarifa yako, mimi nilikuwa chadema wa kindakindaki, kwa hiyo nakijua chama vizuri sana.
 
Wewe unayemtuhumu jiwe una ushahidi gani?
Kwa taarifa yako, mimi nilikuwa chadema wa kindakindaki, kwa hiyo nakijua chama vizuri sana.

Unaelewa maana ya neno "labda."

Unaelewa mwenye dhamana ya kufanya uchunguzi?

Unajua nani anayegoma kufanyika uchunguzi huru hata kama weledi was kulitanzua jambo hana?
 
Ila CCM na wafuasi wa mwamba mnavyokereka na Lissu, mkipata nafasi mtamwacha salama huyu ndugu kirahisi kweli?
hatari, sijui kwa nini wanahenyeka na lissu mmoja! Ni aibu makundi makubwa mawili kutokwa jasho kwa ajili ya mtu mmoja tu, wanakereka sana. Mkiambiwa lissu ni shupavu na shujaa ndio hivyo. Anastahili kupewa tuzo ya ushujaa kama ipo popote duniani
 
Shambulio la Lissu ile dola moja kwa moja,Mbowe ana uwezo gani kuwaondoa askari waliokuwa na wanalinda makazi ya viongozi na kwenda kuharibu ushahidi uliorekodiwa na camera za usalama? Hizi hoja nyingine uwe unajiuliza mwenyewe maswali ya Msingi. Na ni Mbowe aliyezuia uchunguzi wa tukio hili ambalo.limeitia doa serikali? Shambulio la Lissu ilikuwa amri ya Magufuli na mtekelezaji akiwa Makonda kusimamia show yote.

Hebu tuwe impartial kidogo:

Hudhani leo pana waliomo na wasiokuwamo wenye wishful thinking za kuwa huyu ndugu lile shambulio kama vipi kile kikombe Bora angekinywea?

Unadhani aina za kina Wenje, Yeriko au hawa wenginewe wanaomnenea maneno magumu mwenyekiti mtarajiwa huyu, mawazo ya kumwonjesha sumu hayapo? Kwamba wana lipi jema naye?

Kwamba ni kipi alichowatibua chawa hawa kiasi cha utu kuwatoka na kuuvaa uhayawani hata wa kuchuliana vifo?

Ninakazia hawa ndugu hawaaminiki!
 
hatari, sijui kwa nini wanahenyeka na lissu mmoja! Ni aibu makundi makubwa mawili kutokwa jasho kwa ajili ya mtu mmoja tu, wanakereka sana. Mkiambiwa lissu ni shupavu na shujaa ndio hivyo. Anastahili kupewa tuzo ya ushujaa kama ipo popote duniani

Husuda mkuu, walipo wanasikitika mno kuwa kwanini dodoma hakufa mumiani wahedi hao!
 
gentleman,
kwahiyo Lisu analinda benki au yuko doria,right? :pedroP:

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Ale kwake, na avae bullet proof mwili mzima, alale uvunguni sawa tu.

Yote ni sawa ila kupata mawazo ya kumwonjesha sumu kwa ulimi binadamu ni uhayani.

Wenye mawazo kama hayo waichukue hiyo!
 
anavaa bullet proof kama wanamgambo wa janjawid dah,

kweli anawajibikia usalama wake.

lakini masuala ya kudoea kula chakula kwa watu kila siku ni tabia mbaya,

si ule nyumbani kwako na mke wako?🐒
Alikuja kukuomba umpikie huko kwako?
 
Alikuja kukuomba umpikie huko kwako?
aliomba poketi money kwa wadau wakamchangia,

so,
aende kula kwa mama nitilie huko, sio kudowea kwa watu kila siku na hachangii chochote :pulpTRAVOLTA:
 
aliomba poketi money kwa wadau wakamchangia,

so,
aende kula kwa mama nitilie huko, sio kudowea kwa watu kila siku na hachangii chochote :pulpTRAVOLTA:
Kama hajakuomba wewe uache umbea hawo waliochangia hakuna aliyelalamika. Huko ccm nyote mnamchukia kisa ameomba kutaka kuwa mwenyekiti. Leo ndio mnakuwa wema kwa chadema wakati siku zote nikuitukana. Huwo ndio uchawi mlionao na unafiki. Mtafiti uchwara.
 
Back
Top Bottom