Sasa tujiandae kuona mtaani wanavyo shindana kuvaa nguo zao .πŸ€©πŸ˜‹
 
Taarifa mpya iliyotolewa leo na Hospitali ya Muhimbili ( Mlonganzila ) , inaeleza kwamba Hospitali hiyo itaanza kufanya upasuaji ili kurekebisha Makalio na Matiti .

 
Naona ya taanza kukosa soko,wadangaji wataanza kushusha bei.
 
Sasa Hospital ya Mloganzila kuanza kutoa Huduma ya kuongeza Shepu na Matiti kwa wenye Uhitaji

Source Ayo tv

Sasa unaweza kutengeneza " Kalio la Mloganzila" au " Titi la Mloganzila"

Tanzania bhana!

Mlale Unono huku mkiwaombea Wana wa Israel na Palestine πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii Hospitali recently imekuwa ikitrend kwa taarifa hovyo hovyo tu
Hivi wamekosa mambo mengine ya kushughulikia hadi waanze kutrend kwa habari za beauty industry ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…