Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Toka India, haya ndiyo matunda ya ziara ya mama toka India tunayoyataka.Swali.
Je Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka India, haya ndiyo matunda ya ziara ya mama toka India tunayoyataka.Swali.
Je Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini...
Kwa wenye Uhitaji tuSi mumpeleke Spika.
Mama kaifungua nchi🤣🤣 Tusio na matako tumesemwa sana, hatimaye kilio kimesikika....tutayanunua Kama nyama buchani🤣Toka India, haya ndiyo matunda ya ziara ya mama toka India tunayoyataka.
Na sisi tutaagiza vifaa toka China vya kupima kama orijino au Mloganzila.Mama kaifungua nchi🤣🤣 Tusio na matako tumesemwa sana, hatimaye kilio kimesikika....tutayanunua Kama nyama buchani🤣
Hapo kwenye dushe watakuwa wametusaidia vijana wa daslamaMi ninachotaka ni ujana tu, walete na kufanya shepu ya ujana, unakuwa na miaka sabini, themanini mpaka miaka mia moja lakini unaonekana ni kijana wa miaka ishirini. Vipi kuhusu shepu ya dushe hawajazungumzia kukuza kitu hiyo, si wamesema wata shape miili vile mtu anataka aonekane? Mi ni nataka nionekane kijana muda wote, na pia kuwa na ongezeko la ukubwa wa dushe
😆😆😆😆Nitafute hela tu, uzee mwisho Chalinze.
Maadili gani ya nchi mabaya kuliko wizi na rushwa?Swali: Je, Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini?
Aisee Kwa Sasa kuja kupata binti natural itakuwa ni Mtihani.
--
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa kupunguza uzito na upasuaji rekebishi (Bariatric and Reconstructive surgery) kuanzia tarehe 27.10.2023.
Mkuu wa Idara ya Upasuaji Dkt. Eric Muhumba amesema upasuaji huo utafanywa na wataalamu wa MNH-Mloganzila kwa kushirikiana na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa kupunguza uzito na Upasuaji Rekebishi kutoka India, Dkt. Mohit Bhandari.
![]()
Dkt. Muhumba ameongeza kuwa huduma hizo za kupunguza uzito zinafanyika kwa kupunguza nafasi ya kuhifadhi chakula kwa kushona sehemu ya eneo la tumbo kitu kitakachosababisha mtu kutumia kiasi kidogo cha chakula hivyo kupunguza uzito.
Dkt. Muhumba amebainisha kuwa katika kutoa huduma hizo watatumia njia ya kisasa ambayo haitahusisha upasuaji ambapo watatumia kifaa maalumu kiitwacho endoskopia kuingia katika tumbo na kupunguza nafasi ya tumbo la chakula.
“Upasuaji huu utafanyika kwa bei nafuu sana ukilinganisha na endapo mtu angeenda kutafuta huduma hizi nje ya nchi, hivyo tumeamua kuwasogezea wananchi huduma hizi na kuwapunguzia usumbufu wa wananchi kusafiri nje ya nchi kutafuta huduma hizi”Amesema Dkt. Muhumba
Sambamba na huduma hizo Dkt. Muhumba ameongeza kuwa huduma rekebishi itahusisha kurekebisha kwa kupunguza mafuta na kurekebisha sehemu ya mwili mfano kupunguza au kuongeza ukubwa wa matiti, nyama kwenye mikono na sehemu nyingine mbalimbali za mwili.
Direct ipo mkuu, naenda kuoa na kutozwa mahari kubwa kumbe mambo ya mloganzilaWapuuzi walioamua kuchezea miili yao wenyewe wanakuhusu nini? As long as haina direct impact kwa wengine achana nao hao.
Wengine ni maumbile, unakuta mwanamke ana matiti makubwa sana, na hayamuathiri kimuonekano kama uzi unavyoeleza, bali ule uzito, husababisha matatizo ya kuumwa mgongo kadiri mhusika anavyozeeka. Hivyo upasuaji unasaidia.Wapuuzi walioamua kuchezea miili yao wenyewe wanakuhusu nini? As long as haina direct impact kwa wengine achana nao hao.