Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa kupunguza uzito na upasuaji rekebishi (Bariatric and Reconstructive surgery) ambao utahusisha kupunguza mafuta na kurekebisha sehemu ya mwili mfano kupunguza au kuongeza ukubwa wa matiti na makalio, kupunguza tumbo au nyama kwenye mikono na sehemu nyingine za mwili.

Mkuu wa Idara ya Upasuaji Dkt. Eric Muhumba amesema upasuaji huo utaanza kufanyika kuanzia October 27,2023 na utafanywa na Wataalamu wa MNH-Mloganzila kwa kushirikiana na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa kupunguza uzito na Upasuaji Rekebishi kutoka India, Dkt. Mohit Bhandari pamoja na MedINCREDI.

“Upasuaji huu utafanyika kwa bei nafuu sana ukilinganisha na endapo Mtu angeenda kutafuta huduma hizi nje ya Nchi, hivyo tumeamua kuwasogezea Wananchi huduma hizi na kuwapunguzia usumbufu wa kusafiri nje ya Nchi kutafuta huduma hizi”
#MillardAyoUPDATES
 
Kabla ya kuanza kufanya hayo marekebisho kwa wateja wao, wanatakiwa pia kuwapa elimu ili kama kuna athari zozote zile zinazoweza kujitokeza, basi wachukue tahadhari.
 
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa kupunguza uzito na upasuaji rekebishi (Bariatric and Reconstructive surgery) ambao utahusisha kupunguza mafuta na kurekebisha sehemu ya mwili mfano kupunguza au kuongeza ukubwa wa matiti na makalio, kupunguza tumbo au nyama kwenye mikono na sehemu nyingine za mwili.

Mkuu wa Idara ya Upasuaji Dkt. Eric Muhumba amesema upasuaji huo utaanza kufanyika kuanzia October 27,2023 na utafanywa na Wataalamu wa MNH-Mloganzila kwa kushirikiana na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa kupunguza uzito na Upasuaji Rekebishi kutoka India, Dkt. Mohit Bhandari pamoja na MedINCREDI.

“Upasuaji huu utafanyika kwa bei nafuu sana ukilinganisha na endapo Mtu angeenda kutafuta huduma hizi nje ya Nchi, hivyo tumeamua kuwasogezea Wananchi huduma hizi na kuwapunguzia usumbufu wa kusafiri nje ya Nchi kutafuta huduma hizi”.

#MillardAyoUPDATES
 
Mi ninachotaka ni ujana tu, walete na kufanya shepu ya ujana, unakuwa na miaka sabini, themanini mpaka miaka mia moja lakini unaonekana ni kijana wa miaka ishirini. Vipi kuhusu shepu ya dushe hawajazungumzia kukuza kitu hiyo, si wamesema wata shape miili vile mtu anataka aonekane? Mi ni nataka nionekane kijana muda wote, na pia kuwa na ongezeko la ukubwa wa dushe
 
Hapo kwenye dushe watakuwa wametusaidia vijana wa daslama
 
Maadili gani ya nchi mabaya kuliko wizi na rushwa?

Unene uliopindukia ni ugonjwa ambayo unaambatana na magonjwa nyemelezi lukuki kiasi cha kumfanya mtu asiishi maisha bora, na gharama za matibabu kwake na nchi kwa ujumla, wachilia ukweli kuwa anakuwa hawezi kuzalisha au kufanya kazi kwa ufanisi na kuwa tegemezi kwa jamii.
Je nafuu ni ipi?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Wapuuzi walioamua kuchezea miili yao wenyewe wanakuhusu nini? As long as haina direct impact kwa wengine achana nao hao.
Wengine ni maumbile, unakuta mwanamke ana matiti makubwa sana, na hayamuathiri kimuonekano kama uzi unavyoeleza, bali ule uzito, husababisha matatizo ya kuumwa mgongo kadiri mhusika anavyozeeka. Hivyo upasuaji unasaidia.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…