Hotel aliyofikia Lema jijini Dar es Salaam yazingirwa na Polisi, alikuwa aongee na Wanahabari

Hotel aliyofikia Lema jijini Dar es Salaam yazingirwa na Polisi, alikuwa aongee na Wanahabari

Jiwe and company wako bize kupambana Na watu kuliko maendeleo, mwenzake sokoine alikuwa hivi hivi akiiukimbiza upepo nao hakuupata
 
Yani kuna chama kila siku wao wanatamani iwe maandamano na mikutano ya hadhala tu! Maana jana Mbowe kaongea na waandishi wa habari, leo Lema anataka kuongea na waandishi ya kila mtu kule ni pres tu! Jamani.. Mmezidi kwakweli
Hofu ya nn Na chama kisicho Na dola kwann kelele za mlango zikunyime usingizi.
 
Nawaza na kuwazua, ' Hivi ni kwann Mungu ameamua kuwatia upofu viongozi hawa na wasaidizi wao?'. Ninachojua ni kuwa MUNGU ni Upendo ila ana sifa za Haki na Hekima.

Mungu kawapiga upofu kawanyima MAARIFA ili waangamie.
 
Kweli asie sikia la mkuu hivunjika guu
Hata nyerere alionya hatukusia.Pia hata ukiisoma Colonial education utakuta yapo makabila hakuyapa elimu alijua ni kupoteza resources ni hasara kuyaendeleza hayaelimiki sababu ni wazuri Kwa matumizi ya nguvu Na sio akili thus aliyatumia kulima Mashamba ya mkonge Na karafuu Na ukuli bandarini Fanya hata research utagundua ni kwann ni jamii zilezile penye kuhitaji kutumia reasoning wao wanatumia nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilidhani nguvu zimeelekezwa kuwakamata washukiwa wa corona
 
Nyerere angekuwa hai angewashauri hawa wakuja kupambana Na upinzani ni kuwajenga,alimshauri Mwinyi we MREMA akitaka kuandamana we mwache wakitaka kumsukuma Na GARI waache usitume polisi Mwinyi alipomuacha MREMA Na umaarufu wa MREMA ukafa kifo cha mende hadi Leo kaunga juhudi.
Serikali hii achaneni kupambana Na upinzani mnawajenga Zaid Na kudraw attention Kwa wananchi.Jifunzeni Kwa MREMA Na Mwinyi upinzani utajifia wenyewe, hivi Lumumba nzima hakuna wanaofikiri?
 
Back
Top Bottom