Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

Weka picha acha maneno mengi. Hata hivyo tunapenda maendeleo, wacha watu wainvest pesa zao!!

Ajira zitapatikana kwa Watanzania wenzetu, wakulima watauza mboga zao na vyakula vingine, watalii watapata sehemu nzuri za kulala, serikali itapata kodi!! Kuna baadhi ya watanzania wenzetu watafaidika kwa namna nyingi.

Tatizo la watanzania ni wivu tu unawasumbua!!

Kwa mfano huu uzi umeandikwa kimbeya sana, SIYO kwa namna ya kupongeza ni jambo zuri limefanyika, umeandikwa kwa namna ya labda hawa waliojenga ni majizi au wala rushwa au wahujumu uchumi!! Some people are never positive!! Wamejawa na wivu mpaka wanajichukia wao wenyewe!!
 
Nimepitia comment #1-37. Nimebaki nashangaa tu.
 
Nanukuu mstari wa nne kwenye andiko lako "Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi". Sasa umejuajuaje kuwa hiyo ni Hotel ya nyota 5 ?
 
Mods wafute huu uzi wa kijinga
Mwambie afute. Kuna siku mtajuta ya nilichowaambia
Nanukuu mstari wa nne kwenye andiko lako "Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi" Sasa umejuajuaje kuwa hiyo ni Hotel ya nyota 5 ?
ukubwa wa jengo na aina ya jengo.
 
Kuna vyombo vya Serikali nimewaamsha leo , waende eneo husika kuangalia, kuchunguza Mwisho ukweli utapatikana ila tumepigwa na kitu kizito.
TAKUKURU wilaya ya Meru wanalijua ila wamepiga kimyaaaa
 
Ninaomba mkurugenzi wa Meru akanushe taarifa hii kama Hakuna jengo la ghorofa 40 lililojengwa kwenye eneo analotawala Yeye?
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Ni kweli kabisa mjengo ni mrefu sana Arusha sasa ni jiji la kimataifa. God Bless A TownπŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…