mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kutoka maji ya chai pana umbali gani mkuu niende apo saivi nikataliiNinaomba mkurugenzi wa Meru akanushe taarifa hii kama Hakuna jengo la ghorofa 40 lililojengwa kwenye eneo analotawala Yeye?
Kama Kms 3 kutoka Arusha moshi main roadKutoka maji ya chai pana umbali gani mkuu niende apo saivi nikatalii
Mkielezwa ukweli mnaulizia picha. Kufika eneo la tukio mkiambiwa mnapiga zogoHuyu jamaa ni Kisandu mwingine. Asaidiwe kukamatwa apelekwe Mirembe ASAP..!
Mtoto akibakwa hamdai picha. Mkiambiwa kuna ufisadi mahali Mnadai picha, nyie ni walemavu kushindwa kufuatilia habari?Huyu jamaa ni Kisandu mwingine. Asaidiwe kukamatwa apelekwe Mirembe ASAP..!
Hivi yule jamaa Kisandu alipotelea wapi? Au ndio yuko huko Dodoma?Huyu jamaa ni Kisandu mwingine. Asaidiwe kukamatwa apelekwe Mirembe ASAP..!
Tufanyie wepesi wa picha mkuu maana mtoa mada ana bla bla nyingi.Ni kweli kabisa mjengo ni mrefu sana Arusha sasa ni jiji la kimataifa. God Bless A Town🙏🙏🙏
mkuu mtu anaishi km1000 away alaf unataka wote tupange safar ya ushuhudaMkielezwa ukweli mnaulizia picha. Kufika eneo la tukio mkiambiwa mnapiga zogo
Ili muone kazi ya Riziwanimtoa mada anatulazimisha tupande maBus twende arusha tukajionee wenyewe
Ungekuwa muungwana usingeandika hivyo.Acha wivu.
Ulitaka watu wote wawe maskini kama wewe?
Hii ndio ilikuwa akili ya Magufoool.
Huko anakoongelea mtoa mada ni kijijini haya yanaweza kufanyika na mtu asijueHakuna ghrorofa 40 Arusha