Hotuba ya Netanyahu anaishtaki Iran katika Congress waingie vitani

Netanyahu hata ukimtizama usoni, ni kama vile ubongo wake umejaa kamasi. Yani kichwani hakuna akili hata ya kuendea chooni.

Acha awaingize machoko wenzie chaka wakachezee kichapo kwa waajemi.
 
“It’s a clash between those who glorify death and those who sanctify life”

Iran ipo upande upi hapo
 
Netanyahu hata ukimtizama usoni, ni kama vile ubongo wake umejaa kamasi. Yani kichwani hakuna akili hata ya kuendea chooni.

Acha awaingize machoko wenzie chaka wakachezee kichapo kwa waajemi.
Trust me, US hawezi kwenda anzisha vita na Iran, Us iko hoi na vita ya Ukraine na Gaza inawafilisi America, afu akafungue vita na Iran sidhani, mkosaji akili tu ndio atasema US atanzisha vita na Iran.

Ikiwa sa hivi kuna wamarekani wengi wamenza kupiga kelele pesa zao zinavyotumiwa vibaya afu aje afungue jahanamu na Iran.

Si Israel wala si US ana ubavu wakusogea Iran, wataishia kupiga kelele tu.
 
Hahaha hao maiti wanne walikutwa wamekufa sababu Israel alitaka kuwakomboa akashindwa, wakawa na exchange fire wakafa hao. Walipo kufa Hamasi akawa hana bussiness nao tena wao ndio wakawaona.

Hivi we akilini kwako kuna maiti akabaki katika orignal form yake bila kukaa kwenye fridges za kuhifadhia maiti 😄

Vizuri kama umekiri Israel ni tools ya US na UK ili kufanya agenda zao.

Kuhusu kiongozi wa Hamasi akatoe speech Iran sidhani kama atawatukana wananchi wa Iran, atawashukuru.

We unao sema walio fanya mandamano kupinga siasa ya nchi yao, na huo monster kuhutubia kwenye bunge lao. Unadhani ni warabu? Hakuna wamarekani pale? Kwanza America nani ni orignal pale? Unawajua wenye asli ya nchi hio wewe, eti wamepewa chance hao wote waliopo kwenye Congress karibu 99% hawana asili ya kimarekani.

FYI wenye asili pale ni wahindi wekundu nani mhindi mwekundu pale kwenye Congress au hata katika hio serekali ya America.

Rudi shule wewe ukasome wa marekani wote karibu 95% hawana asili ya pale ni wakimbizi tu kutoka Europe, Africa, Asia. Latin na kiasi warabu ambao majority yao ni wale wakristo.
 
Netanyahu na zelensky hawana tofauti ... Kila kitu wao wanalazimisha wapewe.

“When we fight Iran, we are fighting the most radical and murderous enemy of the United States,” Netanyahu said. When Israel fights and works to prevent a nuclear Iran, “we are not only protecting ourselves, we are protecting you,” he argued.

“Our enemies are your enemies, our fight is your fight, our victories will be your victories,” Netanyahu told US lawmakers. “I know that America has our back.”
 
Wansolazimishwa wanatoa au hawatoi? Na unadhan wanatoa tu bila kuwa na maslahi au siyo
 
Mungu amekupa akili unadanganywa kama punguani.

Miili hiyo ilipatikana Jumatano wakati wa operesheni ya Israel Khan Younis, jeshi wanasema miili hiyo waliuliwa Octoba 7 zaidi ya miezi tisa Hamas wakaichukua mpaka Khan Younis😅😅



View: https://x.com/vividprowess/status/1816217376188424611?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…