Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Acha izo embu nielezee kidogo uwo uviko unahusiana na mfumuko wa bei za vitu kupanda? Uwo uviko leo ndo umeamza au ni Tangu 2019? Huu mfumuko wa bei umeanza mwezi wa5/2021Suala la mfumuko wa bei/kutetereka kwa uchumi kwa ujumla wake sio la Tanzania pekee bali ni tatizo la dunia nzima, nalo limesababishwa na Janga na UVIKO 19.
Hiyo ni athari ya uviko 19.
Hawa ni wahuni tu... Hawapo kwaajili ya wanchi wapo kwaajili ya tumbo zaoHata nyama ya ng’ombe ni uviko lol
Hovyoo! Eti sinema zetuMimi nilipomaliza Taarifa ya habari Azam nikaelekea sinema zetu.
Mfano wa Hotuba....tulipata uhuru mwaka.....nyerere alikuwa rais wa kwanza, Tumejenga shule 10, tumelima mpunga mwaka huu, ......Asante ndugu watanzania kwa kunisikilizaMh Rais Samia jana hotuba yake ilikuwa ni nyepesi sana haina nyama za kutosha haikupevuka haikukidhi na kutupatia vision mpya hakuweza kuweka wazi baadhi ya misukosuko Taifa iliyopitia na yeye anakuja na Tiba gani ??mimi binafsi nilijutia muda wa kuangalia CHELSEA WAKICHEZA nikitarajia kupata kitu kipya bali niliambulia patupu sijui wataalam wa hoja zaidi mmetosheka ??
Ukiona kiongozi anaongelea mambo yaliyopita ujuwe tu hakuna kitu, kiongozi anatakiwa aje na vision 10 years ncho iende wapi huko kujisifia tuna shule 1000 sujui Hosp 100 ni mambo hayana tija.Nimefuatilia hutuba ya Mh. Rais aliyoitoa leo na kufadhaishwa saana na aina hutuba aliyoitoa . Hakika hii imekuwa ni historia ya nchi yetu na sio hutuba. Nashauri atafutiwe washauri na waandaaji weredi wa hotuba za Marais....
Kwenye Cuhuma alimaanisha nini mkuu?Tunaisubiri hotuba ya Mhe. Rais kwa hamu.
Shupavu wetu, Jemedari, Cuhuma Imara zaidi.
Unamuuliza nani?Unazungumzia uhuru wa nchi gani?
Naanza na wewe hapo mleta mada...Unamuuliza nani?
Kwani hujui?Naanza na wewe hapo mleta mada...