Leo yenyewe si umesikia mgeni rasmi ni Kenyata?Hapana..kulikuwa kuna jambo nyeti na unusual RAIS alitaka kuhuhudia taifa, pengine alikuwa too emotional, sasa kuna watu wa karibu sana nae watakuwa walinusa hilo
Umeandika nini?Hakuna haja ya kuongelea mambo hayo ambyo serikali yake ya hawamu ya 6 haijayafanya,labda ambacho angekiongea kuhusiana na hayo mambo ni jinsi gani serikali yake itapambana na ufisadi ili Mambo kama escrow, Richmond nk yasijitokezee lakn pia ile comparison ya maendeleo toka 1961 hadi 2020 alokua anaifanya n k2 ambacho kiongozi yeyote dunian anafanya ili kuweka taswira ya uwajibikaji wa serikali yake na kuonesha kua hata yeye kachangia ktk maendeleo hayo,,lakn alisahau kutuambia hayo mafanikio anayosema je yanakidhi ongezeko kubwa la watu ndani ya nchi.
Kumbe!Katika harakati za kutafuta Uhuru Mwalimu Nyerere alikuwa na wenzake 16. Nao ni
- Abdul Wahid Sykes
- Abubakar Ilanga...
Watoa comments wengi kwenye huu uzi ni Kanda ya Ziwa na Kaskazini. Wote Wana maumivu na Mama
ukoloni mpya umeanza chini ya Kagame, Museveni na Uhuru Kenyata, hao ndiyo waliotukalia kututawala kwa sasa.
Siku mpinzani akikusifia kwa ulichokisema au kuandika think twice!___kama hujaelewa kaa pembeni waachie waelewaUmeandika nini?
Kama nimuelewa unatofautisha vipi serikali ya Ccm ya mwaka 1961 na 2005?Siku mpinzani akikusifia kwa ulichokisema au kuandika think twice!___kama hujaelewa kaa pembeni waachie waelewa
Ndo maana nmekuambia una mawazo finyu kama huwezi tofautisha serikali ya ccm 1961 na 2005 dunia inaweza ikakushangaa,,halafu n vema ukaongea mambo ambayo n currently tupo 2021 kwa sasa ko ukihitaji tujadili Yale ya 1961 na 2021Kama nimuelewa unatofautisha vipi serikali ya Ccm ya mwaka 1961 na 2005?
Hangaya ni kanjanja tu kama Mwendazake,ina maana hamfahamu Bibi Titi Mohamed? Hamfahamu Mama Maria Nyerere na wengineo?Kabisa mkuu, maana haikuwa hotuba bali historia fupi ya nchi hii toka tulipopata uhuru.
Yaani hatufahamu tulipotoka mpaka rais atusomee historia usiku? Kiongozi wa nchi aliye madarakani kwa wizi wa kura ana heshima gani?🤣🤣🤣 ni muhimu ufahamu wapi ulipotoka Maana ukwendapo hupajui...... Kusema hi hotuba sio, nafikiri huko.ni kumvunjia heshima kiongozi wa nchi.
Meko alikuwa mshamba na mwenye mambo ya hovyo hovyo Tanzania haijawah pata,bora hata ujinga wake ulimwondoa.Very primitive,ndo maana hata MAMA anasema mambo mengine aliyokuwa anafanya ni non sense.MEKO alikuwa jiziKwani bado mna rais wa hovyo?
Rais wenu wa hovyo si alifariki na mkashangilia sana na maisha ni mazuri sana?
Na bado nyumbu nyie
Kuelekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa leo tarehe 08 Desemba, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam...
Nadhani bibi titi atakuwa namba 17 ambayo haijaandikwa,kwenye maandishi wapo 16 lakini alipisema wenzetu 17 wametangulia mimi nikajiongeza wa 17 ni bibi titi.Hangaya ni kanjanja tu kama Mwendazake,ina maana hamfahamu Bibi Titi Mohamed? Hamfahamu Mama Maria Nyerere na wengineo?
hao akina Sykes ndo wajomba zake na dullyKuelekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa leo tarehe 08 Desemba, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam....
🤐Ndo maana nmekuambia una mawazo finyu kama huwezi tofautisha serikali ya ccm 1961 na 2005 dunia inaweza ikakushangaa,,halafu n vema ukaongea mambo ambayo n currently tupo 2021 kwa sasa ko ukihitaji tujadili Yale ya 1961 na 2021