Rais anayeficha madhaifu yake kupitia jinsia. Hapo ndio bado kunanishangaza
Kweli anafanya yale yale ya Magufuli kujaza Warundi na wanywaranda Ikulu . ama kweli Samia na Magufuli ni kitu kimojaWale wapemba aliwajaza ikulu incompetent as ....
USSR
Hao watoto wa class three primary wanasoma kwenye civic-moralAcha ubaguzi. Rais kawataja wale 16 wote walioshirikiana na Nyerere kudai uhuru. Ulivyo na ghiliba kwenye maandishi yako umeruka kipengele hicho muhimu. Hii ni mara ya kwanza kwa rais wa nchi kuwataja waru hao 16 hadharani.
Tuliaminishwa ni Nyerere tu aliyeleta uhuru.
Mtaje huyo mrundi shombe shombe weweKweli anafanya yale yale ya Magufuli kujaza Warundi na wanywaranda Ikulu a
Kweli Samia na Magufuli ni kitu kimoja
Mpango, Bashiru, chakubanga na wengine wengi tu.Mtaje huyo mrundi shombe shombe wewe
kesho. MAGAZETINITueleweshane jamani.
Chakubanga simjui ni mamakoMpango, Bashiru, chakubanga na wengine wengi tu.
Eeh na magazeti yetukesho. MAGAZETINI
RAISI ANENA
MAZITO
HABARI KAMILI
UK. 2
Umezoea hekaya na uongo wa mwendazake.. bora huyu anayeongea machache yule leo angesema sie ni dona kantri na reli&sgr tunajenga wenyewe.Nilikuwa zangu kwenye mishe za maisha, nilipoona wito wa watu kutakiwa kumsikiliza nikaharakisha sana shughuli zangu ili niwahi nijue Jambo.
Nimesikiliza na nimeangalia Ila mbona sijaelewa? Hii ndio kuhutubia taifa? Mbona hotuba ipo shallow sana?
Au saa 4 Kuna nyingine tusubiri?
Hadi sasa najuta kupoteza muda wangu