Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Daah wabongo mnachosha!

Hotuba nzuri iliyounganisha awamu zote wenzetu bado hamkosi neno!
Hivi nini mnataka?

Wakati mwingine tunapokosa objectivity tutakuja kuwa watu waajabu sana huku duniani
Nipo hpa sitting room kwenye TV nasubiri ikifika saa 5 huenda Kuna hotuba nyingine
 
Yeye na mtangulizi wake hawakujiandaa kuwa nafasi hiyo so msitegemee jipya sana blunders zitaendelea tu
 
Nilikuwa zangu kwenye mishe za maisha, nilipoona wito wa watu kutakiwa kumsikiliza nikaharakisha sana shughuli zangu ili niwahi nijue Jambo.
Nimesikiliza na nimeangalia Ila mbona sijaelewa? Hii ndio kuhutubia taifa? Mbona hotuba ipo shallow sana?
Au saa 4 Kuna nyingine tusubiri?
Hadi sasa najuta kupoteza muda wangu
Wewe mfu wa chato utaelewaje hotuba ya Mama?

Tafuta juice ya ndimu tu unywe! Mama Samia ndo Rais wako hadi 2030 hutaki rudi kwenu Burundi
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Rais amekuwa na matukio mengi ya ziara katika kipindi cha siku tatu-nne zilizopita na zote hizo katoa hotuba.

Sitegemei kama kutakua na kitu kipya cha kuongea maana alishaongea sana ndani ya Vipindi vifupi vifupi.

Kikubwa sikuona sababu ya kuhutubia leo ingali kesho ni siku muhimu zaidi ya kuhutubia na ingependeza zaidi kesho kuliko leo.

Ni maoni tu.
 
Nilikuwa zangu kwenye mishe za maisha, nilipoona wito wa watu kutakiwa kumsikiliza nikaharakisha sana shughuli zangu ili niwahi nijue Jambo.
Nimesikiliza na nimeangalia Ila mbona sijaelewa? Hii ndio kuhutubia taifa? Mbona hotuba ipo shallow sana?
Au saa 4 Kuna nyingine tusubiri?
Hadi sasa najuta kupoteza muda wangu
Kwani Uhuru wenu "machogo" wa Tanganyika unamhusu nini Hangaya, pambaneni na hali yenu, mlivo mazuzu mmekubali kuizika na nchi yenu, shenzy type mwacheni Hangaya akapake kucha hina😀😀😀

Nacheka kama sina akili nzuri
 
Back
Top Bottom