Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Nimefuatilia hutuba ya Rais aliyoitoa leo na kufadhaishwa saana na aina hutuba aliyoitoa.

Hakika hii imekuwa ni historia ya nchi yetu na sio hutuba. Nashauri atafutiwe washauri na waandaaji weredi wa hotuba za Marais...
Ila watu mna hasira na mama khaa! Nahisi sasa hata akifanya jema lolote halitaonekana kabisa.Lakini kama ni kweli kuna watu wanampotosha mama,basi hao si watu wema kabisa yaani

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nimefuatilia hutuba ya Rais aliyoitoa leo na kufadhaishwa saana na aina hutuba aliyoitoa.

Hakika hii imekuwa ni historia ya nchi yetu na sio hutuba. Nashauri atafutiwe washauri na waandaaji weredi wa hotuba za Marais...
Labda tatizo ulishaandika hotuba yako kichwani
 
Nadhani hiyo heshima hana
Na ukiamua kubisha na ukasema anayo basi nikuhakikishie anaivunja mwenyewe
Kwa chief Hangaya, intellectually ni sifuri yaani zero (0) hajui kujenga hoja wala reasoning capacity hana. Majizi yamemsoma sasa yanatembelea uchochoro huo
Tanzania tuna muangalizi wa ikulu hatuna Rais wa kuongeza gurudumu ukiamua kubisha fresh mi nimaoni yangu
Lakini mara 100 huyu kuliko Jiwe
 
Happy Birth day Tanzania, 60 yrs.
Tumepiga hatua kubwa sana ktk nyanja zote;

1. Elimu=Elimu bure kuanzia primary hadi kidato cha 4, hivyo sasa watoto wengi wa kitanzania wanapata elimu bila kikwazo.
Mikopo kwa elimu ya juu inatolewa na serikali bila matatizo hivyo watoto wengi wa kitanzania wanapata elimu ya juu bila kikwazo.
Vyumba vya madarasa vimejengwa/vinajengwa ili kukidhi ongezeko la watoto wanao jiunga.

2 Afya= zahanati za kisasa zimejengwa kila kona ya nchi, pamoja na vifaa vya kisasa.

3. Uchumi= tupo ktk uchumi wa kati.

4. Miundo mbinu tuko safi sana.

n.k n.k

Tanzania oyeeee
 
===
Sitaki kuzungumzia mambo mengi yaliyofanywa na Serikali za Chama Cha Mapinduzi za awamu zote kwa miaka 60 toka tukiitwa TANU na sasa CCM,

Kwamsiojua,Umri wa kuishi kwa Mtanzania umeongezeka kutokana na uboreshaji na upatikanaji wa lishe na kuondoa udumavu pamoja na huduma bora za afya nchini,

Wakati tunapata Uhuru wastani wa Umri wa kuishi kwa Mtanzania ulikuwa ni miaka 37 na sasa Serikali za CCM na Mungu wameufikisha miaka 67.

Wewe unayelalamika leo huoni faida za CCM huenda bila CCM na Mungu Usingekuwa hai,Hivyo Moyo wako ukusute unapoinyanyasa CCM kwa kejeli na dharau,

Mtakubaliana na Mimi,Zawadi kubwa kuliko zote kwa mwanadamu hapa duniani ni Uhai|Kuishi,

Wale wanaosema hawaoni ni nini CCM imefanya kwa miaka 60 basi hili la Umri wao wenyewe na ndugu zao kuongezeka kutoka kuishi wastani wa miaka 37 hadi miaka 60 liwaoneshe umuhimu na kazi nzuri ya Chama Cha Mapinduzi na Mungu,

Mungu Ibariki Africa
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Rais Samia Sululu,

#Happy birthday Tanganyika
 
Nimefuatilia hutuba ya Rais aliyoitoa leo na kufadhaishwa saana na aina hutuba aliyoitoa.

Hakika hii imekuwa ni historia ya nchi yetu na sio hutuba. Nashauri atafutiwe washauri na waandaaji weredi wa hotuba za Marais...
History ya Tanganyika toka ipate uhuru, na CCM wakaifanya Tanganyika koloni lao, kwa kuupokonya uhuru na kuwafanya watanganyika watu wasio huru kwenye Taifa lao!
 
Jiwe alikuwa muongo sana.
Yaani ni sawa na kusema Yesu Kristo alikuwa Muongo yaani wewe unayesema hivyo ndiye unajilaani na hakuna mtanzania atakaye kuelewa juu ya hilo. Poleni sana mkae mkijua siku Mama akiondoka tutawashughulikia nyei wezi kwa kasi ya ajabu na hamtakaa kuamini kitakachowatokea. Sasa hivi tunawaangalia tu na kupata idadi yenu kamili na mnaturahisishia kazi.
 
Nimefuatilia hutuba ya Rais aliyoitoa leo na kufadhaishwa saana na aina hutuba aliyoitoa.

Hakika hii imekuwa ni historia ya nchi yetu na sio hutuba. Nashauri atafutiwe washauri na waandaaji weredi wa hotuba za Marais.

Kwa kifupi Hotuba ya Rais uzungumzia "current issues vis a vis mambo ambayo ameyafanya tayari wakati wa utawala wake kulinganisha na watangulizi wake na nini anatarajia kufanya zaidi....na sio kuja kutueleza idadi za madaktari na shule tulizokuwa nazo wakati wa kupata uhuru kulinganisha na leo.
Binafsi nimekusoma mkuuu ... salut .... umelenga mule mule
 
Bila CCM na Mungu watu wengi wasingefikia umri walionao leo,Kama unaishi na umevuka Miaka 37 Mshukuru Mungu na CCM,

#Chama Cha Mapinduzi ndio Chama
 
Nimefuatilia hutuba ya Rais aliyoitoa leo na kufadhaishwa saana na aina hutuba aliyoitoa.

Hakika hii imekuwa ni historia ya nchi yetu na sio hutuba. Nashauri atafutiwe washauri na waandaaji weredi wa hotuba za Marais.

Kwa kifupi Hotuba ya Rais uzungumzia "current issues vis a vis mambo ambayo ameyafanya tayari wakati wa utawala wake kulinganisha na watangulizi wake na nini anatarajia kufanya zaidi....na sio kuja kutueleza idadi za madaktari na shule tulizokuwa nazo wakati wa kupata uhuru kulinganisha na leo.
Elimu yako ndogo sio raisi hata kuelewa maana halisi ya hotuba inayoakisi tulikotaka.
 
Ukiona kiongozi anaongelea mambo yaliyopita ujuwe tu hakuna kitu, kiongozi anatakiwa aje na vision 10 years ncho iende wapi huko kujisifia tuna shule 1000 sujui Hosp 100 ni mambo hayana tija.
Wewe ni kenge kama kenge wengine hunyui hata maana ya jubileee.
 
Back
Top Bottom