Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021


..ila hatuba yake sidhani kama kuna mtu ataikumbuka. Haikuwa na mvuto wowote ule.
 

Fanya kazi wewe ulipe kodi na utunze Familia.
 

Pamoja na kwamba ni hotuba reasonable lakini kuna mambo kadha wa kadha ya kutiliwa mkazo tofauti.

Kuhusu swala la nchi kulinda afya za raia wake kwa nfano kama katika kipindi hiki cha ujio wa corona, si kazi ya nchi zilizoendelea kuwa na mzigo mara mbili: wa kulinda afya za raia wao na kushughulika na afya za watu wa nchi zingine zinazojiita maskini au kuitwa hivyo.

Umaskini wa kutegemea kudra za nchi zingine huo si umaskini tu, ni laana pia.

Kwani nchi hizo tunazokwenda mbele yao na kuanza kulialia eti vaccine inequity wao wanapokuwa wanawekeza kwenye sayansi na teknolojia sisi pesa zetu tunafanyia nini?

Last I checked nchi hii inaweka budget ya kununulia mashangingi kibao ya serikali lakini ukienda kwenye taasi za kufanyia tafiti za sayansi na tiba hakuna vifaa vya utafiti tena vinavyogharimu uwekezaji mdogo tu usiozidi sh bilioni moja kila lab.

Halafu tuna guts za kwenda kulalamika oh vaccine inequity!!! Vaccine inequity kwani tuliwekeana mkataba na nchi hizo kwamba afya zetu zitawategemea wao? Kama hatuna akili za kujua nini tufanye, nini tuvipe kipaumbele, nini tuwekeze nguvu wacha tufe kama kumbikumbi labda akili zetu zitakaa sawa.

Umaskini huanzia akilini kwanza.
 
Ndugu chuki ni kitu kibaya sana yaani shida yako tangu hajaanza kuhutubia tayari ulishakuwa na mwelekeo hasi kwake hivyo hata angesema nini tayari ulishakiamdaa kumponda hizo chuki zenu hazisaidii Wala hazijengi hivi kwani mnataka nani awe rais wa nchi hii ili mlizike?
 


Body language - Inasikitisha .... ... (Chijui anaomba nini hapa au anajaribu kukumbuka neno la kithungu?)
 




Huyu nae chijui anataa kupigana na nani?
 
Nawasalimu kwa Jina la JMT,

Foreign Policy ( FP) ya Marekani yaitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi toka Africa na nimiongoni mwahotuba saba ( 7 ) bora zaidi zilizotolewa na viongozi wakuu wa nchi kwenye Mkutano mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani,

Hotuba ya Rais Samia UNGA pia inatajwa kuwa ndio hutoba bora zaidi toka kwa Rais Mwanamke duniani miongoni mwawanawake Marais waliohutubia mkutano huo wa 76,Utafiti huo ulifanywa na Foreign policy kwa kuwahoji wajumbe wa mkutano ule ambao Rais Samia alikuwa miongoni mwawajumbe hao 192 toka nchi 193 wanachama wa UN ambao wengi wao walifika na wengine wachache walishiriki kwa njia ya Mtandao,

Marais wengine sita ( 6 ) kati ya 192 waliotoa hotuba bora kama ilivyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Mhe Joe Biden rais wa Marekani, Rais wa Brazil Mhe Jair Bolsonaro,Rais wa China Xi Jinping,Rais wa Lebanoni Mhe Michel Aoun,Rais wa Irani Mhe Ebrahim Raisi’s na waziri mkuu wa India Narendra Modi hakika Rais Samia ni nyota inayong'aa duniani,

Mtakumbuka Rais Samia mara kwa mara katika hotuba yake ile alisifu na kusisitiza Uhusiano wa Kimataifa na mipango ya UN,namnukuu "Ukitaka kwenda haraka nenda peke yako ila ukitaka kwenda mbali nenda na wenzako " huku akitanabaisha Taifa lake la Tanzania kuhitaji zaidi msaada katika Teknolojia pamoja Fedha toka kwa Mataifa mengine huku akionya " Kamwe ushirikiano wa kimataifa hautashindwa kupambana na virusi vya Covid -19,

Rais Samia Suluhu Hassan amezishangaa nchi tajiri kuanza kurudia chanjo ( boosting) wakati nchi nyingi masiki toka Africa utoaji wa chanjo bado wako chini 2% ,amezitaka kuzisaidia ilikufikia lengo la WHO la chanjo 40% kwa nchi zote 193 hadi mwishoni mwamwaka 2021 na kufika 70% mwishoni mwa 2022,endelea kujisomea hapo chini,


.........Kazi iendelee .........


=============================
President Samia's speech among seven most important at UNGA 2021
WEDNESDAY SEPTEMBER 29 2021


President Samia Suluhu Hassan addressing the United Nations General Assembly (UNGA).

Summary

Samia becomes one of the few female heads of State from Africa to address the UN General Assembly.

Dar es Salaam.
________________
President’s Samia Suluhu Hassan’s maiden speech at the United Nations General Assembly (Unga), has been mentioned among the seven most important during the session.
On September 23,

President Samia Suluhu Hassan addressed Unga’s 76th session in New York, USA this week.
President Samia Suluhu Hassan’s speech has been selected by American website ‘Foreign Policy (FP)’ among the most important addresses at the assembly and the only one from a female head of state.

Samia becomes one of the few female heads of State from Africa to address the UN General Assembly.

Other head of the whose Unga speeches have been highlited as important includes: the U.S. President Joe Biden, Brazilian President Jair Bolsonaro, Chinese President Xi Jinping, Lebanese President Michel Aoun, Iranian President Ebrahim Raisi’s and Indian Prime Minister Narendra Modi

In their publication, Foreign Policy asked several of their columnists and contributors to weigh in on the speeches they found most compelling or most concerning.

When President Samia finally took the stage to deliver her speech at the Unga, she presented a distinctive contrast to the endless stream of all-male speakers who had preceded her to the podium on the third day of the General Debate.

In her maiden speech, Samia repeatedly praised multilateralism and the United Nations system. She noted her nation’s dependency on technical and financial support from external sources and admonished that “multilateralism cannot and should not succumb to the virus.”

She decried the COVID-19 vaccine inequality, noting that high and middle-income countries were now giving booster vaccinations while developing countries such as Tanzania had barely inoculated even 2 percent of its population.

“The level of vaccine inequity that we see is appalling.It is truly disheartening to see that most of the countries have inoculated less than 2 per cent of the populace and thus need to seek more vaccines for our people,”

“With the current pace, it is less likely that we will meet the WHO threshold of vaccinating at least 40 percent of people in every country by end of 2021, and at least 70 percent by the first half of 2022,” she said.

President Samia also spoke at length on gender equality, a cause she avidly advocates.
“As the first female president in the history of my country, the burden of expectation to deliver gender equality is heavier on my shoulders. Being passionate about gender equality is not sufficient and as such, my government is reviewing policy and legal frameworks in order to come up with actionable and measurable plans to ensure economic empowerment of women and other aspects pertaining to gender equality and gender parity,” she noted.

President Samia pointedly noted that ‘COVID-19 is threatening to roll back the gains made’ in gender equity and said she plans to implement policies aimed at female economic development and political and social advancement.

She assured the Assembly of Tanzania's commitment to remain a formidable member of the United Nations and a dependable supporter of multilateralism.

Other female presidents
Although most African countries joined the UN in the 1960s soon after they attained independence, with a few joining earlier than that or later, it wasn’t until 2006 that the first African female Head of State, Ellen Johnson Sirleaf of Liberia, addressed the UN General Assembly.

Currently, the 54 African member states of the UN make up to 28 percent of its overall membership. Before 2006, only male heads of State and governments had addressed the General Assembly.

Other African female heads of State that followed were Joyce Hilda Banda of Malawi in 2012, Catherine Samba-Panza of the Central African Republic in 2014, and most recently, Sahle-Work Zewde of Ethiopia in 2019.

VIVA SAMIA VIVA | VIVA TANZANIA VIVA

 
Taarifa mbaya sana hii kwa Wale wanangu wa Ufipa,

Rais ametoa speech ya mfano duniani,

Wale mliokuwa mnauliza nini faida ya Safari nadhani mmeelewa,

Samia ni habari nyingine kabisa kwa sasa,
 
Kuna story ya kale ilikuwa inaitwa A Boy who Cried Wolf...., huyu mtoto alikuwa anafanya masihala kila akienda kuchunga mbuzi analia kwamba Mbwa Mwitu amekuja, watu wanaacha kazi wanaenda kumuokoa kumbe wanakuta anatania..., siku ya siku Mbwa Mwitu wakaja kapiga kelele wee, watu hawakuja wakijua anatania....

Moral of the Story
Hii kusifia hata mambo ambayo sio kweli au hayana mashiko mwisho wa siku watu watadhani wewe ni mtu wa kushangilia..., hata siku ukileta vitu credible watu watapuuza....

Lets give Credit when Credit's Due na sio to spread it willy nilly...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…