Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,966
Natamani Magufuli angekuwa anajua kingereza atoe hotuba UN ambayo sio ya kuandikiwa kama ya Hangaya...Pangejimbika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ya kuandikiwa asome? Umemuona Hichilema?Kongole Madam President,umetoa hotuba nzito,mzuri na ume flow vizuri Sana (ung'eng'e).Kweli wewe ni mwanadiplomasia,dunia imetusikia madam President big up.
Speech zipo za aina mbili 1. Oral 2. Written sasa kama hamjasoma msitusumbuwe hapa.Hii ya kuandikiwa asome? Umemuona Hichilema?
Endelea kutamani magufuli ajuwe kusoma kingereza ni kipaji siyo kama makalio kila mtu anayo.Natamani Magufuli angekuwa anajua kingereza atoe hotuba UN ambayo sio ya kuandikiwa kama ya Hangaya...Pangejimbika.
TUJITEGEMEE nimeinukuu hiiNchi zinazoendelea ni lazima zisaidiwe katika kupambana na madhara ya COVID19. Tunashukuru mashirika ya kifedha ya kimataifa kwa kusaidia mataifa mengi yasianguke kiuchumi.
Ndiyo Tuwaeleze, tusijitetee.: Njia walizotoa WHO ni salama kwa kuzilinda nchi dhidi ya virusi vya Corona lakini kwa nchi kama Tanzania ambao wananchi ni wa uchumi tumbo 'Subsistence Economy' tulichukua hatua zenye ulazima. Hatua hizo ni pamoja na kujiunga na mpango wa COVAX, ili kuhakikisha tunapata chanjo
Sema wewe ndo unamchukia!Hii nchi haieleweki kweli. Awamu iliyopita tumejinasibu hatuna covid-19, awamu hii tunalia lia kwamba tumeumizwa na covid-19 na tunahitaji misaada wakati hata takwimu hatukutoa?
Na inasemekana awamu Ile tulipokea misaada KWAAJILI ya kudeal na covid-19 ikiwemo kutoa takwimu lakini gafla tukakana kwamba hatuna hiyo covid.
Sasa ndugu zangu hivi hawa wazungu wangeamua tu kumpiga maswali ya msingi huyu mama angejibu nini? Si angechanganyikiwa tu na kuishia kusweat huko?
Let this mother know that a lot of Tanzanians aren't happy with both herself and her regime. She has no Vision and if she does it is not known.
Awekeze kwanza kwenye kujipambanua kwa watanzania na matatizo yao ndani ya nchi ndipo athubutu kujipamba Huko kimataifa.
Bila hivyo huyu mama ataishia tu kupiga ruti zake Huko nje kubwabwaja lakini atambue kuwa watanzania wanamchukia kweli kweli.
Hotuba yote ni COVID 19 mwanzo mwisho. Mungu wa Mbinguni asaidie Taifa hili. Kutoka kuutangazia ulimwengu mzima kwamba tunamtegemea Mungu wa Mbinguni mpaka kwenda kulilialia UN. Na Mungu hatakaa kimya kuona hali hii inaendelea. Amelaaniwa yeye amtegemeaye mwanadamu.
Mabeberu hayanaga vya bure. Tutaonewa huruma mpaka lini.Kumbuka mama ni wa kike anaamini katika kusaidiwa
Hotuba yake ilibeba kuonewa huruma
Sasa huyu hamjui na wala hana habari na Mungu. Labda Mungu mwenyewe ajifunue kwake kama anavyofanya kwa wengine wengi wa aina yake.Hivi pamoja na juhudi zote zilizofanywa kuhimizana kumuomba Mungu wa Mbinguni kwenye hili janga la corona wako wanaona haikuwa chochote kitu?! Viongozi wa dini wakawahimiza watanzania waliopewa na Mungu kuwaongoza kwenye maswala ya imani kufunga na kuomba, leo hii tunauonesha ulimwengu approach yetu hii haikuwa ya maana na hatuna uthubutu wala ujasiri tena wa kuisemea? Kweli!
Kwamba tunaongea na kukiri mbele ya ulimwengu mzima kuonesha kuwa janga la corona na madhara yake sisi hatuna tofauti na wengine. Kuwa hakuna kitu cha tofauti Mungu alichokionesha Tanzania ukilinganisha na wengine katika yatokanayo na madhara ya corona?!!!! Hii si sawasawa. No wander Mungu aliamuacha ajibiwe na wale watu wa Tegeta kwa style ile.
kwani agenda za UNGA zilikuwa zipi- yaani unakuwa kama Baba Askofu Mwanakula kwenye ibada ya ubarikio yeye anaongelea kesi ya Mbowe.Kwa lipi? Hakuna hotuba pale licha ya kung'ang'nia corona
Ndiyo ilikuwa agenga ya mwaka huu90% ya Hotuba yake amezungumzia issue ya COVID nadhani lengo apewe hela zaidi ili atumie kwenye issue ambazo sio za COVID.
Kongole mkuu Criterion ,umeandika mambo ya msingi sana.Honestlly speaking, kila mtu anaona ki vyake. We see what we want to.
1. Nimeona kiingereza kizuri sana.
2. Naona unafiki wa kisiasa zaidi, kujipendekeza kwa dunia kubwa.
3.Naona kujihami dhidi ya tuhuma zinazovuja kutoka ndani kuhusu utawala bora wa sheria.
4. Maswala mtambuka kama jinsia, mazingira, na corona, kwamba hata sisi tumo msitusahau.
5. Uhalisia wa hotuba uko mbali sana kwa kuwa, hakuna kitu unachoweza kukifuatilia, kukitathimini ama kukisupport kutoka kwa hotuba.
6. Unapoongea unajpanga kuinvite wawekezaji bila hata kuzungumzia maeneo ama mazingira yanayoweza kuvutia wawekezaji.
7. Unaongelea habari za governance bila maeneo muhimu ya ama yanayopaisha nchi ama changamoto unazopambana nazo ni siasa zisizohalisi.
8. Unapoongea amani bila kutaja hatua unazochukua kwa matiship kama ugaidi wa Mbowe, unaoneakana unaficha mambo.
9. Mazingira yamekuwa changamoto, lakini si universal, Mpango gani wa kitaifa mnaofanya wa maziginra ambao hata UN wangeweza ku liberate kusuport juhudi. Ukisema women and girls enconomic empowerment, bila kutaja hata mkakati mbinu mmoa mnaoutumi akufikia maelngo na lini, na nini mngependa UN isaidie bado ni ngonjera. Isitoshe , the world has moved. Samia anajua poverty vizuri na hiyo ingelitosha kutengeneza mkakati wa kuivutia UN kussuport, iwapo watu wake wangekuwa ni wawajibikaji wazuri wak ukakatia kwa nia sahihi.
Ninaona tabia sugu ya serikali ya kukusanya kusanya vi maneno na vitaarifa ili kuzima moto kwa kutafa kuwafurahisha wageni inapohitajika. Objectivity haipo ndugu zangu, ni hadithi kama hadithi zingine, ni kunawa uso tu. Sioni kitu hapo.
Unajipa moyo. Mnaompinga Rais kwa mambo ya msingi lazima mshughulikiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ccm ni kama maji, usipoyaoga utayanywa
Namwambia huyo mwenzako anaepinga hotuba ya Rais huko UN sijasema nimehamia CCM we gambaHate wewe umemgeuka Lisu?
Kwa kura yako moja huko CCM hutaweza kumtoa. Hamia chadema uongeze nguvuBahati mbaya utaifa sio kama timu ya mpira kwamba unaweza kujiropokea kama mlevi 2025 lazima atoke
Si ndio kama hivi anavyoshughulikiwa Mbowe?Unajipa moyo. Mnaompinga Rais kwa mambo ya msingi lazima mshughulikiwe
Kwa hiyo 2025 utamtupa Lisu kulee na kumpa kura Samia wa ccm na hatimae Ccm kuibuka mshindi na Lisu kugaragazwa kama alivyogaragazwa na Nyarandu kwenye kamati kuu?Namwambia huyo mwenzako anaepinga hotuba ya Rais huko UN sijasema nimehamia CCM we gamba