Avith almachius
Senior Member
- Aug 20, 2022
- 168
- 175
Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
Sawa kaandame ila usishau kuandika wosia mzee maana unajua kitakachofataHatutaki
MakubwaMama Leo nimumuelewa sana haya anayozungumza akiyaishi hakika anaweza kutuacha nchi pazuri, She could be the best president ever tumpe ushirikiano.
Tutaandamana, na tutawang'oa madarakani mtake msitakeSawa kaandame ila usishau kuandika wosia mzee maana unajua kitakachofata
Tuko pamoja Familia 💪Mama Leo nimumuelewa sana haya anayozungumza akiyaishi hakika anaweza kutuacha nchi pazuri, She could be the best president ever tumpe ushirikiano.
Hatupaswi kukubali,hotuba hii ya kiishetaniGen Z wenzangu tusidanganyike na hotuba ya Rais haramu. Tukikubali basi jua tumepigwa na kitu kizito.
Kweli kakaMama anaeleweka
Acha kuhadaika,ameuwa watu 10000Mama anaeleweka
Usimuamini huyo .... vitendo na maneno ni tofauti kabisa ... kumbuka zile 4 R zakeMama Leo nimumuelewa sana haya anayozungumza akiyaishi hakika anaweza kutuacha nchi pazuri, She could be the best president ever tumpe ushirikiano.
Sawa dadaKweli kaka
Kwa sababu ganj?Acha kuhadaika,ameuwa watu 10000
Sipo hapa kukuelewesha kitu ambacho huelewi maana yakeAcha kuhadaika,ameuwa watu 10000
Gen z sio wajinga huyo hatambuliki kama rais atawatambua vijana vizuri D9Sipo hapa kukuelewesha kitu ambacho huelewi maana yake