Norton82
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,192
- 1,076
Wahi kabla Bunge halijahitimishwa ukatoe ya kwako ya Kimalaika.Hatupaswi kukubali,hotuba hii ya kiishetani
Wahi kabla Bunge halijahitimishwa ukatoe ya kwako ya Kimalaika.Hatupaswi kukubali,hotuba hii ya kiishetani
Tarehe 9 December mm nitahakioisha nawapeleka peponi machawa kama huyu mleta mada.Tutaandamana, na tutawang'oa madarakani mtake msitake
Acha uchocheziGen Z wenzangu tusidanganyike na hotuba ya Rais haramu. Tukikubali basi jua tumepigwa na kitu kizito.
Utaona D9,kama utakuwa na hiyo serikali yenu haramuWahi kabla Bunge halijahitimishwa ukatoe ya kwako ya Kimalaika.
Nadhani wewe umeongea kama mtu matured unayehitaji maafikiano ya kupeleka nchi mbele, lakini kuna watoto wengine wanafanya hivi vitu kama mchezo wa kuigiza wakati vinagharimu maisha ya watu. Nawaangalia, kuna muda unasema ni utoto na mob psychology.Kosa mnalofanya watu wenye upeo mdogo ni kuwatisha watu kuhusu kifo mkidhani hamfi au hamuwezi kuuawa.
Hiyo ilitumika kwa kizazi chetu lakini Gen Z na kizazi kijacho huwezitumia kitisho kama hicho.
Kama huamini endeleeni kutumia mbinu hiyohiyo muone taifa litafikia wapi.
Kuua watu sio suluhu ni kuongeza tatizo na kupanua mzozo na kuongeza wahusika kwenye vita ambayo kadiri unavyoua unasogelea muuaji wako.
Ninyi ndio mlimshauri Rais wa watu mawazo ya kijinga alafu mambo yakiwa magumu mtamkimbia na lawama zote zitakuwa juu yake. Acheni ujinga kama hamna cha kushauri.
Badala uangalie hoja za vijana ni nini unakimbilia aandike Wosia. Kwani wewe hufi au, kwani wewe ukipigwa risasi au kuchomwa mshale hufi. Acha ujinga. Msituvurugie nchi
Sawa, mwamba kila la kheri.Utaona D9,kama utakuwa na hiyo serikali yenu haramu
Ujumbe wa Gen Z umeanza kuwaingia. Niggas, keep on pushing, nyinyi ndio wenye nchi hii, wazee muda wao umeisha. Keep on pushing Gen ZMama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
Akifufua wafu tutampa ushirikiano akishindwa atalipia gharama ya damuMama Leo nimumuelewa sana haya anayozungumza akiyaishi hakika anaweza kutuacha nchi pazuri, She could be the best president ever tumpe ushirikiano.
Tunasema tena hatutakubari udhalimu na uongo uongo wa maCCM. Kwa kweli mimi hainiingii akilini. Raisi fake, wabunge fake ambao hawakupata ridhaa ya wananchi eti sasa ndo watutungie sheria, eti twende kuwapelekea shida zetu eti ndo tuombe maridhiano nao. AISEE HAIINGII AKILINI KABISAMauaji ya Samia 29102025, you can't compromise with a serial killer
Angalau ningeelewa kidogo kama angetoa order mara moja political prisoners kuachiliwa waliotekwa kurudishwa na immediately bunge la katiba kuundwa na kuanza kazi na kuamuru uchaguzi mkuu ufanyike within 2 years.Ila kawaomba sana msameheni ameanza kuwa mpole ameiona nguvu ya vijana
🤣🤣🤣Makubwa
Actualy anakuja kuja but not yet kuna vingi kaachaMama Leo nimumuelewa sana haya anayozungumza akiyaishi hakika anaweza kutuacha nchi pazuri, She could be the best president ever tumpe ushirikiano.
Maandamano tarehe 09.12.2025 ni lazimaGen Z wenzangu tusidanganyike na hotuba ya Rais haramu. Tukikubali basi jua tumepigwa na kitu kizito.
Inakuuma sana na itakuuma zaidi ... kinakuingia sana mpaka kinakuuma ukipaliwa kunywa maji usije ukaangukaKafieni mbele