Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,174
- 18,884
Mimi au ww anaeonekana kuteseka ni nani?Inakuuma sana na itakuuma zaidi ... kinakuingia sana mpaka kinakuuma ukipaliwa kunywa maji usije ukaanguka
Mimi au ww anaeonekana kuteseka ni nani?Inakuuma sana na itakuuma zaidi ... kinakuingia sana mpaka kinakuuma ukipaliwa kunywa maji usije ukaanguka
Hujioni?Mimi au ww anaeonekana kuteseka ni nani?
Wewe na huyo ndugu yako tukutane 09.12.2025Tuko pamoja Familia 💪
It's a none of your business familiar tuangalie ustawi wa TAIFA letu mengine hayatuhusuAongee na Abduli
NakusubiriaSubiri D9
Umepanic nimempokea Kama alivyokuja soma content yanguKosa mnalofanya watu wenye upeo mdogo ni kuwatisha watu kuhusu kifo mkidhani hamfi au hamuwezi kuuawa.
Hiyo ilitumika kwa kizazi chetu lakini Gen Z na kizazi kijacho huwezitumia kitisho kama hicho.
Kama huamini endeleeni kutumia mbinu hiyohiyo muone taifa litafikia wapi.
Kuua watu sio suluhu ni kuongeza tatizo na kupanua mzozo na kuongeza wahusika kwenye vita ambayo kadiri unavyoua unasogelea muuaji wako.
Ninyi ndio mlimshauri Rais wa watu mawazo ya kijinga alafu mambo yakiwa magumu mtamkimbia na lawama zote zitakuwa juu yake. Acheni ujinga kama hamna cha kushauri.
Badala uangalie hoja za vijana ni nini unakimbilia aandike Wosia. Kwani wewe hufi au, kwani wewe ukipigwa risasi au kuchomwa mshale hufi. Acha ujinga. Msituvurugie nchi
Sawa kila lakheriTarehe 9 tuwasalimie wabunge wote wanaopiga makofi kumshangilia mama Dullah
We are keep pushing but slow but sure we are not need more blood 😔Ujumbe wa Gen Z umeanza kuwaingia. Niggas, keep on pushing, nyinyi ndio wenye nchi hii, wazee muda wao umeisha. Keep on pushing Gen Z
We kuweza? Ufufue tukupe uraisAkifufua wafu tutampa ushirikiano akishindwa atalipia gharama ya damu
Umenikosa mkuuWewe na huyo ndugu yako tukutane 09.12.2025
Wenzako walipuuzwa hivyohivyo,wakaandamana.Wanaoandamana hawasemi, unawakuta barabarani. Nakushauri, subiri siku ifike nenda barabarani kuliko kutafuta umaarufu humu.
Kwani hawakuambiwa mapema kabla ya maigizo ya uchaguzi?Mimi nasisitiza maridhiano. Naona kabisa mama yupo tayari. Sisi ni taifa moja haina haja ya kugombana. Tukae chini tuyajenge tusonge mbele
We ushaathiriwa na shahawa za wanaume wenzako mpaka zimekusababishia bawasiri utaweza kunyonga mtu?Anawasamehe wa nini anipe kazi ya kuwanyonga
Na atailipa kwa yeye kuanguka tuLeo ndiyo anawakumbuka?
Afahamu tu kuwa!
Damu! Damu! Ya watanzania iliyomwagwa kwa lengo la kuingia madarakani kwa wizi wa kura inalia kutoka ardhini! Inalilia kisasi cha Mungu kwa walioimwaga! Naam Mungu hatanyamaza atalipa.
unakumbukumbu za 4R!?Mama Leo nimumuelewa sana haya anayozungumza akiyaishi hakika anaweza kutuacha nchi pazuri, She could be the best president ever tumpe ushirikiano.
Na anapenda kupigwa pipe hatari kama jamaa yake GENTANOISEMYCINEWe ushaathiriwa na shahawa za wanaume wenzako mpaka zimekusababishia bawasiri utaweza kunyonga mtu?
We hata kuua Kunguni au Buibui huwezi utaweza pambana na mtu? Endeleakuomba kupigwa Pumbu tu inbox, huna lolote.
Alafu anakuja hapa na kusema atanyonga mtu. Huyu jamaa JF nzima tunajua ni mchicha mwiba.Na anapenda kupigwa pipe hatari kama jamaa yake GENTANOISEMYCINE
Na uraisi wake#Samia ni Haramu
Kwani wewe utaishi milele?Kafieni mbele