Pumbafu wauaji nyinyi,UVCCM na tutamng'oa tunahasira nayeSipo hapa kukuelewesha kitu ambacho huelewi maana yake
Pumbafu wauaji nyinyi,UVCCM na tutamng'oa tunahasira nayeSipo hapa kukuelewesha kitu ambacho huelewi maana yake
Na hii lugha ya kuwaasa Vijana aliiongea kabla ya tar 29 Oktoba 2025. Waandamanaji wa kwenye Social media wakawajaza kwenye mfumo, watoto wa watu wakapoteza maisha. Sasa hivi wanawajaza tena. Ili wapeleke picha na video kwa wafadhili wao.Sawa kaandame ila usishau kuandika wosia mzee maana unajua kitakachofata
Aongee na AbduliMama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
Unawatisha watu KIFO ambacho hata mwenyewe huna ujanja wa kukiepuka. Una akili kweli?Sawa kaandame ila usishau kuandika wosia mzee maana unajua kitakachofata
Wanaoandamana hawasemi, unawakuta barabarani. Nakushauri, subiri siku ifike nenda barabarani kuliko kutafuta umaarufu humu.Tutaandamana, na tutawang'oa madarakani mtake msitake
Hauna hasira kaka ungekua na hasira ungekua BurundiPumbafu wauaji nyinyi,UVCCM na tutamng'oa tunahasira naye
Subiri D9Hauna hasira kaka ungekua na hasira ungekua Burundi
Anatoa msamaha kama nani !? Samia ni haramu Hana mamlaka hayo ya kutoa msamaha.Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
Subiri D9Wanaoandamana hawasemi, unawakuta barabarani. Nakushauri, subiri siku ifike nenda barabarani kuliko kutafuta umaarufu humu.
Miaka nenda miaka rudi ndo wanavyosema hivyo. Jamani chonde chonde tusidanganyike. Tuwe imara. Walishaziba masikio na kusema baada ya uchafuzi huu watakuja na maridhiano..Unaweza kuona kabisa wanajua wanachokifanya.Usimuamini huyo .... vitendo na maneno ni tofauti kabisa ... kumbuka zile 4 R zake
Mpumbavu kabisa huyu muuaji. Sehemu yake ni jela akisubiri kitanzi.Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
Tukuone mbele kabisa, tutakuunga mkono Shujaa wetu.👏Subiri D9
Kila la kheriSubiri D9
#Samia ni HaramuGen Z wenzangu tusidanganyike na hotuba ya Rais haramu. Tukikubali basi jua tumepigwa na kitu kizito.
Sawa kaandame ila usishau kuandika wosia mzee maana unajua kitakachofata