PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia uzinduzi wa Bunge la 13 imejikita kuwainua vijana

PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia uzinduzi wa Bunge la 13 imejikita kuwainua vijana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mama kaongea vizuri sana,, niombe watendaji wake msimuangushe mama sio vile tunavomdhania anaupendo wa kweli..mengine ya watu, ni chuki zao tu huwezi kupendwa na kila mtu..hapo kwenye ajira apitie upya zilitangazwa toka 2024..aweke fair play kuna vijana huku mtaani wanalalamika hasa waliongia Oral interview.
Hamna issue hapa, una hoja dhaifu mno sana nchi yetu inahitaji mifumo imara, utawala wa kisheria, utumishi Bora, katiba ya wananchi na sio ya watawala acheni hizi porojo za ajira ambazo hazizidi 30k kwa mwaka, nchi inahitaji kiongozi mwenye akili na maono makubwa sana. Ni huzuni kwamba Samia Hana akili hizo
 
Unashangilia ujinga.

Kuna wizara ya wanawake na jonsia, umeona wanawake wameinuliwa?

Kuna wizara ya wenye ulemavu, umeona walemavu wameinuliwa?

Kuna wizara ya biashara, umeona biashara na wafanyabiashara wameinuliwa?

Kuna wizara ya kilimo, umeona kilimo na wakulima wameinuliwa?
 
Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
Hakuna Gen Z Mbumbumbu tena Dunia hii.
Unaua vijana 10,000 tena 95% yao ni wa KIUME aged 18 - 28 hivi una akili kweli? Ukitaka kulimaliza Taifa lolote lile Duniani wauwe vijana wake wa kiume.

Hili hata katika ulimwengu wa roho HALIPITI HIVI HIVI, unaondoka upende usipende
 
Hamna issue hapa, una hoja dhaifu mno sana nchi yetu inahitaji mifumo imara, utawala wa kisheria, utumishi Bora, katiba ya wananchi na sio ya watawala acheni hizi porojo za ajira ambazo hazizidi 30k kwa mwaka, nchi inahitaji kiongozi mwenye akili na maono makubwa sana. Ni huzuni kwamba Samia Hana akili hizo
Uwe na adabu kwa watawala wako..huyo wako mwenye uwezo huo mwambie asubili awamu nyingine.
 
Mama kaongea vizuri sana,, niombe watendaji wake msimuangushe mama sio vile tunavomdhania anaupendo wa kweli..mengine ya watu, ni chuki zao tu huwezi kupendwa na kila mtu..hapo kwenye ajira apitie upya zilitangazwa toka 2024..aweke fair play kuna vijana huku mtaani wanalalamika hasa waliongia Oral interview.
Mwambie kwanza atupatie maiti za ndugu zetu tukazike,halafu ndio aendelee na hao vijana wake
 
Mimi nasisitiza maridhiano. Naona kabisa mama yupo tayari. Sisi ni taifa moja haina haja ya kugombana. Tukae chini tuyajenge tusonge mbele
Tunaomba atupatie maiti za ndugu zetu tukazike halafu aridhiane na wauaji wenzake
 
Back
Top Bottom