Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

Hiyo miezi sita ni pamoja na kuhakikisha kuwa mitambo yote inafanyiwa matengenezo mazuri na kufanya vizuri kazi.
{Ulicheza wapi chipukizi, wakati ule tunabebwa na mabasi ya bhesco kwenda uwanja wa taifa kuchapa gwaride nakumbuka nilichapa mguu wakati wa kutoa salute kwa mwl Nyerere kofia na kiatu kikavuka lakini nikachapa gwaride hivyo hivyo kikakamavu nakumbuka nilipatiwa zawadi, wewe Ulicheza chipukizi wapi?}
 
Kijana mpumbavu na mzaandiki haijawwhi kutokea.

Tumia akili yako japo kidogo.

Mnatumia lugha ya ukarabati unaisha mwaka wa tati sasa.

Hiyo yote ni kumnanga JPM siyo? Aliwezaje kuzalisha umeme kwa mitambo chakavu halafu ninyi mshindwe?

Hiyo mitambo huwezi kuitumia chakavu, msitudanganye. Mna ajenda yenu ya siri kipindi hiki.

Na hata hiyo miezi sita ni uongo. Hakutakuwa na umeme.

Tarizo hata hapa ni wizi, ufisadi na kukosa uadilifu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Sawa chawa msambwanda usikate tamaa
 
Watanzania wamekwambia kiu yao inakati kwa maneno ya Rais? Watu wapuuzi kama wewe hamtakiwi kuwepo ktk taifs letu. Tuna shida ya umeme na kiu yetu ni kupatikana kwa umeme wewe unatuambia kiu yetu inakatika kwa maneno ya Rais, utakuwa na tatizo kwenye akili yako.

Hujui kutofautiana kwa kauli kati Makamba, Maharage na Rais mwenyewe juu ya sababu za kukatikakatika kwa umeme kumezua maswali mengi Sana?

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Shida ya watanzania ni umeme, watanzania wanahitaji umeme ndio maana kwa kulitambua hilo serikali ya Rais samia ina mikakati na mipango mbalimbali kuhakikisha kuwa huduma ya umeme inaendelea kupatikana kwa watanzania,ndio maana imeamua kuongeza vyanzo vingine vya nishati hii ikiwepo umeme wa gas na jua. Pamoja na kuendelea kukamilisha miradi mikubwa kama ule wa bwawa la mwalimu Nyerere
 
Huu ni uongozi wa Rais samia ,uongozi wenye kuleta Matumaini wenye kuzungumza ukweli na kutekeleza kwa matendo .hivyo uwe na imani maana utafurahi mwenyewe
 
Kwahiyo kama sababu hizo Maharage na Januari amewatoa kwa lengo gani. Huwezi kuwepo kwenye mkeka hata uweke namba za sinu na verified name. Huna godfaza. Nunua chemuli tu uwe na moshi puani[emoji16]
 
Huyu mwanamke anaitwa mwashambwa tusichangie kabisa nyuzi zake.
Siyo wote hawana akili kama ilivyo wewe. Hili siyo jukwaa la wahuni au watoto wakuburuzwa kama mikokoteni ya ng'ombe ,watu wana utashi wkna akili za kuchambua mambo na siyo kuwafundisha kipi wasome na kipi wasisome. Watu wanasoma mada na siyo mtu au sura ya mtu. Ukitaka huo ujinga wako basi nenda facebook ndio utakutana na wajinga aina yako wenye akili fupi kama zako na watakuunga mkono.
 
Kwahiyo kama sababu hizo Maharage na Januari amewatoa kwa lengo gani. Huwezi kuwepo kwenye mkeka hata uweke namba za sinu na verified name. Huna godfaza. Nunua chemuli tu uwe na moshi puani[emoji16]
Mabadiliko katika baraza la mawaziri ni jambo la kawaida kabisa popote pale Duniani ndugu yangu .haijaanza kwa serikali hii na wala haitaishia kwa serikali hii. Hakuna mwenye hati miliki ya uongozi au wizara.leo kuwa huku na kesho kule ni mambo ya kawaida kiutendaji.
 
Hapo ulipoandika Rais wetu Mpendwa kipenzi cha wa Tanzania. Nadhani hata yeye akiisoma hii ataelewa dhahiri UNAJIPENDEKEZA KUPITA KIASI
Hapana sijipendekezi bali naandika ukweli kuwa Rais samia anapendwa sana na mamilioni ya watanzania,ndio maana Anaendelea kuungwa mkono na watanzania wa kila rika na kila kundi
 
Ikiwa tatizo ni
1. Ukame. Miezi sita mvua inaagizwa toka nchi gani kutoa garantii?
2. Ikiwa ni service. Makamba alipoingia alidai anaizima kwa ajili ya service. Je service ina cycle ya muda gani? Na hii imefanyika mara ngapi toka tupate uhuru?
Bro tumia akili zote sisi wengine si wanaharakati wala siasa lkn tunaona ubabaishaji.
Hivi inaingia akilini? Kwa maelezo hayo umeme tutakuwa tunapata wakati wa masika tu
 
Pamoja na ahadi nzuri hizo, lakini serikali iwe na mkakati wa kutafuta vyanzo vingine mbadala vya Umeme kuliko kuendelea kutegemea maji! Swala la kukatika umeme naona ni la kila mwaka! Mvua zikikatika ndiyo tunaona ni yale yale yanajitokeza!
Asante sana kwa mchango wako lakini napenda kukuhakishia kuwa tatizo la umeme linakwenda kuwa historia ,kwa kuwa serikali yetu imeamua kutumia vyanzo mbadala kwa kuongeza vingine na kukamilisha mradi mkubwa wa bwawa la mwalimu Nyerere.ondoa hofu serikali yetu ipo kazini muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…