Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

Pamoja na majibu mazuri ya mtoa mada, bado wananchi wanachohitaji ni umeme. Ahadi hizi zote wamekwisha zizoea wanachotaka ni umeme, umeme, umeme.
 
Pamoja na majibu mazuri ya mtoa mada, bado wananchi wanachohitaji ni umeme. Ahadi hizi zote wamekwisha zizoea wanachotaka ni umeme, umeme, umeme.
Usijari mkuu serikali yetu inalitambua hilo ndio maana imejikita na kujidhatiti katika kuhakikisha kuwa watanzania wanapata umeme na Taifa linapata mwanga wa kutosha usiku na mchana.
 
mwendazake alikuwa hafahamu maana ya "maintanance" ni nini.
 
Usijari mkuu serikali yetu inalitambua hilo ndio maana imejikita na kujidhatiti katika kuhakikisha kuwa watanzania wanapata umeme na Taifa linapata mwanga wa kutosha usiku na mchana.
Pamoja na majibu mazuri ya mtoa mada, bado wananchi wanachohitaji ni umeme. Ahadi hizi zote wamekwisha zizoea wanachotaka ni umeme, umeme, umeme
 
Wewe..Mwashambwa...acha kuandika hizi porojo ....achana na siasa siasa...Tukubali kuwa hatujui hata taifa tunataka nini....sera yetu ya kuwa na nishati muendelezo ni ipi?Sustainable energy sources....Haya mambo ya ukame tangu tuko vijana wadogo..maelezo ni hayahaya tu..
Shame kabisa
 
Watu wanataka umeme siyo blah blah

Unamuweka mtu bila umeme masaa zaidi ya 12 mambo ya ajabu kabisa
Kufanyika kwenye karne hii

Ova
 
Pamoja na majibu mazuri ya mtoa mada, bado wananchi wanachohitaji ni umeme. Ahadi hizi zote wamekwisha zizoea wanachotaka ni umeme, umeme, umeme
Kwani nani aliwakataza kujipatia umeme?

Umeme wa Tanesco ndio kama mlivyosikia leo.

Mimi nashangaa, mnaolalamika hamna matumizi zaidi ya kuchaji visimu vyenu na usiku kuwasha taa moja au mbili. Sijawasikia wenye viwanda kulalamika.
 
Punguza ujinga.Huu sio muda wa dharau kwenye maisha ya watu.
 
Mtoa mada hii sio dunia ya kuendekeza porojo wakati uwezo mdogo.
 
Andiko la HOVYO !!
Hufai kwenye timu.
 
Mtoa mada hii sio dunia ya kuendekeza porojo wakati uwezo mdogo.
Bila shaka ulishazoezwa kudanganywa na kupotoshwa .Rais samia ni msema kweli na anayependa kuusema ukweli katika kuongoza Taifa letu.
 
Ukame hauletwi na serikali yetu bali ni mabadiliko ya hali ya hewa .ndio maana serikali nayo inabadilika kulingana na wakati kama unavyoona sasa serikali inaamua kuanza kutumia vyanzo vingine kama vile gas na jua ili umeme uwepo.
Mwaka 2013 tuliambiwa 2014 mgao utakuwa historia kwa sababu tunaingia uchumi wa gesi,tukakopa pesa na kujenga bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es Salaam,halafu leo mnaleta simulizi zile zile tena?
 
Aliyepo madarakani ni Rais samia.Ahukumiwe kwa yale anayoyaahidi yeye kama yeye na serikali yake.Tumwamini Rais wetu na hatatuangusha hata kidogo.akisema anatekeleza.
 
Hili halina tofauti na lile la kusema Watz wapewe elimu ya Katiba kwa miaka mitatu. National Sisi ni Manyani.
 
Aliyepo madarakani ni Rais samia.Ahukumiwe kwa yale anayoyaahidi yeye kama yeye na serikali yake.Tumwamini Rais wetu na hatatuangusha hata kidogo.akisema anatekeleza.
Acha hizi porojo mkuu,Rais Samia anaongoza serikali ya CCM,ina Ilani na inaendeshwa kwa kufuata mipango ya maendeleo ya miaka mitano mitano,haiwezekani Kila Rais akiingia aje na yake,utakuwa ni upuuzi sasa,nchi haina continuation ya miradi ya maendeleo?kilio cha umeme ni cha miaka mingi sana,...CCM wameshindwa kwenye hili suala la Umeme
 
Hivi kutuletea porojo zote hizi umesahau zengwe la DP World?CCM,the government and any of it's leaders cannot be trusted for anything.Watakuwa wamewatendea wananchi wa Tanzania favour kama wataondoka.We are fed up with it's lies and crookedness.
 
Taifa ili ,tupo gizani hata hotuba yenyewe hajasikika
Uchawa tu
 
Sikiliza ndugu yangu ,ilani ni ya miaka mitano mitano na ndani ya hiyo miaka mitano inaweza kujitokeza changamoto ambayo inahitaji serikali kubadilika kimkakati katika kukabiliana nayo ili isilete athari na maumivu kwa wananchi.suala la ukame na mabadiliko ya hali ya hewa hayasubiri ilani ya uchaguzi au wakati wa uchaguzi.huja bila Taarifa na huhitaji hatua za haraka pasipo kusubiri kuangalia uchaguzi upo lini au ilani j inasema nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…