Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

Suala la Umeme sio dharura,tumeshakumbwa sana na ukame na migao mikali sana ya umeme,hii serikali haijifunzi,?kama 2013 walijielekeza kwenye miradi ya gesi,kwa nini wameishia njiani?miaka 60 ya uhuru bado tumeshindwa kuwa na umeme wa uhakika?Kenya au Uganda mbona hatukisikii hii kero kwa kiwango hiki cha kwetu?Makamba alipoingia tu,alisema wanafanya matengezo ya mitambo,miaka miwili baadae,story ni ile ile
 
Pamoja na majibu mazuri ya mtoa mada, bado wananchi wanachohitaji ni umeme. Ahadi hizi zote wamekwisha zizoea wanachotaka ni umeme, umeme, umeme
Niko tayari kukosolewa Kwa hoja ila ambae alielekea kulimaliza tatzo la umeme ni magu[emoji3531][emoji3531] na alikuwa na mpango madhubuti kabisa, Kwa miaka 6 ya utawala wake sikumbuki kama kuliwahi kuwa na mgao au hoja ya kukatika Kwa umeme!

sasa changamoto pekee tunayoipitia kama taifa si kukosekana Kwa umeme ila usimamizi madhubuti, hatuna mtendaji ambae viatu Vya wizara hyo vinamtosha..

NWM anaweza kuwa mzri swali ni je anauwanja mpna wa kiwango hicho? miguu yake na viganja vyake vitakuwa huru? ni swala la Muda,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashangaeje changamoto ya umeme kwa Tanzania wakati hata Afrika kusini kwenyewe nao wanapataga changamoto za umeme?
 
Siyo kweli
Afrika Kusini inaweza kuwa na viongozi wa hovyo kama ilivyo Tanzania tu
Siyo kweli usemayo maana Tanzania tuna uongozi imara na madhubuti chini ya Rais samia na ndio maana uchumi wetu unakua kwa kasi kubwa kupita nchi zote za jumuiya ya Afrika mashariki.
 
Siyo kweli
Siyo kweli usemayo maana Tanzania tuna uongozi imara na madhubuti chini ya Rais samia na ndio maana uchumi wetu unakua kwa kasi kubwa kupita nchi zote za jumuiya ya Afrika mashariki.
Achana na hizi hekaya bana
 
Kwahiyo maintanance inafanywa kuanzia 2021 maana nimeanza kusikia hili jambo Samia alipoanza urais.kweli Machawa hamna akili.wewe umeamua kuwa chawa wa Samia kwa sababu ya Udini.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Kijna unaonesha hufatilii mambo haya.

Kuna mpango wa kussamza nyaya mpya za high voltage kwa ajili ya kujitayarisha kupokea umeme mpya, kuna substations za kubadilishwa, kukarabatiwa, kuna miambo ya zamani aliyowacha mwendazake bila maintanance, kuna miundombinu mipya.

Yote hiyo ilishatangazwa kuchukuwa muda mrefu na January Makamba toka mwaka jana.

Usifikiri kuna lelemama kule.
 
Tokea nipo darasa la kwanza hii nchi inapambana na ukame
Mi nakumbuka shida za umeme zilianza back in 1992 nikiwa form 2....since then hali huwa inatulia kwa muda na kurejea.

Somehow kuna uzembe wa under investments kwenye hilo eneo lakini pia with investments kuna milango ya ufisadi hufunguka implying kuendelea kwa tatizo ni fursa ya wenye nafasi kuendelea kuchota hela za mboga!
 
Nafikiri ukitaka kufanikiwa usipende kutumia nguvu kubwa kulaumu waliotangulia; Tatizo la mgao wa umeme lilikuwepo tangu awamu ya tatu. Usimchonganishe mama na walio tangulia; acha achape kazi.....
Kijana halaumiwi mtu hapo, huo ndiyo ukweli.

Alifanya kipi kipya kwenye umeme?
 
Punguza ujinga.Huu sio muda wa dharau kwenye maisha ya watu.
Au kaa usubiri umeme wa tanesco au jitafutie njia mbadala. Hakuna cha zaidi, kulalama humu hakutakusaidia kitu, kutakujaza ujinga tu.
 
Wafanye discount kwenye kodi sio tulipe 1500 na umeme hakuna
 
Hatari sana hii
 
Halaf usiwe unaleta uchawa kweny mamb yanayohusu maisha ya kila cku ya watanzania!! Pumbav kbs!!
 
Wenye Mamlaka hii nchi sijui mlishatuona sisi mnaotuongoza wote ni Wapumbavu tu!?

Mbona wao Viongozi hawatumii 109 au Pegeout miaka hii!? Inashindikana nini kuja na majibu yenye mustakabali wa muda mrefu tusiendelee kubuz buz kila siku pale pale tuu!!!!? Iweje furniture za maofisi zao zinabadilishwa kila kukicha tena za mamilioni ya shilingi ila hata kututengenezea tu mazingira mazuri ya shule zetu tupate wataalamu wengi imeshindikana!? Halafu kuna mpuuzi mmoja anakuja kutusaundisha kitu gani sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…