Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Hana aibu huyu bibi yaani anajisifia kbs.Njaa zitawauwa machawa nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana aibu huyu bibi yaani anajisifia kbs.Njaa zitawauwa machawa nyie
Suala la Umeme sio dharura,tumeshakumbwa sana na ukame na migao mikali sana ya umeme,hii serikali haijifunzi,?kama 2013 walijielekeza kwenye miradi ya gesi,kwa nini wameishia njiani?miaka 60 ya uhuru bado tumeshindwa kuwa na umeme wa uhakika?Kenya au Uganda mbona hatukisikii hii kero kwa kiwango hiki cha kwetu?Makamba alipoingia tu,alisema wanafanya matengezo ya mitambo,miaka miwili baadae,story ni ile ileSikiliza ndugu yangu ,ilani ni ya miaka mitano mitano na ndani ya hiyo miaka mitano inaweza kujitokeza changamoto ambayo inahitaji serikali kubadilika kimkakati katika kukabiliana nayo ili isilete athari na maumivu kwa wananchi.suala la ukame na mabadiliko ya hali ya hewa hayasubiri ilani ya uchaguzi au wakati wa uchaguzi.huja bila Taarifa na huhitaji hatua za haraka pasipo kusubiri kuangalia uchaguzi upo lini au ilani j inasema nini
Niko tayari kukosolewa Kwa hoja ila ambae alielekea kulimaliza tatzo la umeme ni magu[emoji3531][emoji3531] na alikuwa na mpango madhubuti kabisa, Kwa miaka 6 ya utawala wake sikumbuki kama kuliwahi kuwa na mgao au hoja ya kukatika Kwa umeme!Pamoja na majibu mazuri ya mtoa mada, bado wananchi wanachohitaji ni umeme. Ahadi hizi zote wamekwisha zizoea wanachotaka ni umeme, umeme, umeme
Kwahiyo maintanance inafanywa kuanzia 2021 maana nimeanza kusikia hili jambo Samia alipoanza urais.kweli Machawa hamna akili.wewe umeamua kuwa chawa wa Samia kwa sababu ya Udini.mwendazake alikuwa hafahamu maana ya "maintanance" ni nini.
Unashangaeje changamoto ya umeme kwa Tanzania wakati hata Afrika kusini kwenyewe nao wanapataga changamoto za umeme?Suala la Umeme sio dharura,tumeshakumbwa sana na ukame na migao mikali sana ya umeme,hii serikali haijifunzi,?kama 2013 walijielekeza kwenye miradi ya gesi,kwa nini wameishia njiani?miaka 60 ya uhuru bado tumeshindwa kuwa na umeme wa uhakika?Kenya au Uganda mbona hatukisikii hii kero kwa kiwango hiki cha kwetu?Makamba alipoingia tu,alisema wanafanya matengezo ya mitambo,miaka miwili baadae,story ni ile ile
Afrika Kusini inaweza kuwa na viongozi wa hovyo kama ilivyo Tanzania tuUnashangaeje changamoto ya umeme kwa Tanzania wakati hata Afrika kusini kwenyewe nao wanapataga changamoto za umeme?
Siyo kweli usemayo maana Tanzania tuna uongozi imara na madhubuti chini ya Rais samia na ndio maana uchumi wetu unakua kwa kasi kubwa kupita nchi zote za jumuiya ya Afrika mashariki.Afrika Kusini inaweza kuwa na viongozi wa hovyo kama ilivyo Tanzania tu
Achana na hizi hekaya banaSiyo kweli
Siyo kweli usemayo maana Tanzania tuna uongozi imara na madhubuti chini ya Rais samia na ndio maana uchumi wetu unakua kwa kasi kubwa kupita nchi zote za jumuiya ya Afrika mashariki.
Kijna unaonesha hufatilii mambo haya.Kwahiyo maintanance inafanywa kuanzia 2021 maana nimeanza kusikia hili jambo Samia alipoanza urais.kweli Machawa hamna akili.wewe umeamua kuwa chawa wa Samia kwa sababu ya Udini.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Mi nakumbuka shida za umeme zilianza back in 1992 nikiwa form 2....since then hali huwa inatulia kwa muda na kurejea.Tokea nipo darasa la kwanza hii nchi inapambana na ukame
Kijana halaumiwi mtu hapo, huo ndiyo ukweli.Nafikiri ukitaka kufanikiwa usipende kutumia nguvu kubwa kulaumu waliotangulia; Tatizo la mgao wa umeme lilikuwepo tangu awamu ya tatu. Usimchonganishe mama na walio tangulia; acha achape kazi.....
Au kaa usubiri umeme wa tanesco au jitafutie njia mbadala. Hakuna cha zaidi, kulalama humu hakutakusaidia kitu, kutakujaza ujinga tu.Punguza ujinga.Huu sio muda wa dharau kwenye maisha ya watu.
Hao ndio vijana wenu wa uvccm mlivyowalea, hawataki kazi wamechagua kufuta makalio ya wengine ili waishi
Hatari sana hiiYaani watanzania tupo gizani na hapa tulipo hatuna umeme, halafu mama anasema shida ya umeme iendelee hivi hivi mpaka baada ya miezi sita ndio atakuja kufanya tathmini kuona imepungua, kuongeza au amekwisha! Hapa hapana kabisa. Mama ameteleza kwa 100%.
Watanzania tunataka umeme wa uhakika sasa.
Naona umeweka namba ya simu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Halaf usiwe unaleta uchawa kweny mamb yanayohusu maisha ya kila cku ya watanzania!! Pumbav kbs!!Ndugu zangu Watanzania,
Leo Rais samia Amekata kiu ya watanzania na kulituliza Taifa ambapo muda mwingi walikuwa wanataka kusikia kauli yake juu ya changamoto ya kukatika kwa umeme. Kwa utulivu ,upole,uthabiti na uimara wa hali ya juu sana amelieleza Taifa sababu ya chagamoto hiyo na mikakati ya serikali yake kuimaliza. Ameliambia Taifa kuwa hali hiyo imetokana na serikali kufanya ukarabati na matengenezo ya mitambo ambayo ilikuwa haijafanyiwa matengenezo kwa muda mrefu. Hivyo serikali inalazimika kuzima mingine na kuwasha mingine ambayo inakuwa haitoshelezi umeme unaohitajika.
Lakini pia Amelieleza Taifa kuwa mabadiliko ya hali ya hewa yameathiri uzalishaji wa umeme kutokana na nchi kukumbwa na ukame kwa baadhi ya maeneo na hivyo maji yanayohitajika katika mabwawa yetu kuwa pungufu.Hata hivyo ameelezea jitihada za serikali yake kumaliza changamoto hiyo ambayo itabakia historia katika Taifa letu baada ya miezi sita tu. Ambapo kwa sasa serikali inajitahidi kuongeza na kutumia vyanzo vingine vya umeme kama vile umeme wa gas na jua.
Naamini watanzania wenzangu sote ni mashahidi wa namna jua linavyowaka kwa kipindi hiki na namna maeneo mengi yanavyoendelea kuwa kame na kukauka maji .sote tunakubaliana na ukweli kuwa hata shughuli za uchumi zinazotegemea umeme zimeongezeka kwa kiasi kikubwa sana kutokana na kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi wetu, unaotokana mazingira mazuri na sera nzuri za serikali yetu katika kuchochea ukuaji wa uchumi na Biashara.
Tuendelee kuwa wavumilivu katika miezi hiyo sita ambayo mh Rais na serikali yake wanaendelea kupambana kuimarisha hali ya upatikanaji wa umeme nchini ,lakini pia Tuendelee kumuomba Mungu atuletee mapema mvua zenye baraka zisizo na madhara zitakazo jaza mabwawa yetu.lakini pia tukumbuke pia mwakani bwawa la mwalimu Nyerere litaanza nalo uzalishaji wa umeme na hivyo kufanya Taifa kuwa na umeme wa kutosha na mwingine kuuza nje ya nchi kama vile kenya na nchi nyingine zenye uhitaji wa umeme.
Rais samia ni kiongozi mkweli sana ,Ni kiongozi ambaye anaendana na Baba wa Taifa Hayati mwalimu Nyerere ambaye alikuwa haoni haya kuusema ukweli kutwambia watanzania,kama ambavyo amewahi kutuambia kuwa Tufunge Mikanda. Huo ndio uongozi na huo ndio uungwana .Rais samia Hataki kuendesha serikali kwa udanganyifu na ulaghai wakati anajuwa mwisho wa siku ukweli hujitenga na uongo.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.