Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Pole sana naona hata hiyo ID yako utabadili maana nyinyi mnaendaga na upepo wapi unavumia
Mmmmh.. yaani nyinyi wanasaccos nafikiri kwenye vichwa vyenu hamna akili kabisa kuna makamasi tu. Yaani Tundu awe Rais wa Tanzania kama ameshindwa Lowassa!! Ngoja apate pesa za wajinga!
 
Bora akagombee ubunge jimboni kwake tu, urais amwachie Bernad Membe
 
Wewe kesho nawe utakuwa kilema tena afadhali ukilema wa mh Lissu kuliko utakao upata wewe maana mwendo kasi litazoa miguu yako miwili na mikono yako yote
Kazi gani? Huyu kilema kweli achukue nchi? Kama alishindwa Lowassa pamoja na mtandao wake wote aweze huyu vuvuzela!!??
 
Amina
 
Sasa kuna kipi cha maana alicho ongea huyo muuni wako hapo?
Zaidi kalalamika tuuu, utafikili kalazimishwa kugombea.
Huyo ni Rais wa mtandaoni tu na itabaki kua hivyo si vinginevyo.
Endelea kusoma magazeti ya uhuru na mzareendo
 
Kazi gani? Huyu kilema kweli achukue nchi? Kama alishindwa Lowassa pamoja na mtandao wake wote aweze huyu vuvuzela!!??
Maamuzi ni wananchi msiwapige mabomu tu.
Ni heri kilema wa mwili kuliko mlemavu wenu wa akili penye akili utumia nguvu utadhani yupo shambani.
 
Mmmmh.. yaani nyinyi wanasaccos nafikiri kwenye vichwa vyenu hamna akili kabisa kuna makamasi tu. Yaani Tundu awe Rais wa Tanzania kama ameshindwa Lowassa!! Ngoja apate pesa za wajinga!
Wewe kichwani kwako kuna kinyesi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…