Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasira za nini!! Leo ni tarehe 8 tu mpaka tarehe 30 upate hivyo vibuku 7 utatukana wangapi?Hopeless labda unamhitaji wewe lakini siyo watz!
Mmmmh.. yaani nyinyi wanasaccos nafikiri kwenye vichwa vyenu hamna akili kabisa kuna makamasi tu. Yaani Tundu awe Rais wa Tanzania kama ameshindwa Lowassa!! Ngoja apate pesa za wajinga!
Nimepoteza muda wangu buleee
Hasira za nini!! Leo ni tarehe 8 tu mpaka tarehe 30 upate hivyo vibuku 7 utatukana wangapi?
Hopeless labda unamhitaji wewe lakini siyo watz!
Kazi gani? Huyu kilema kweli achukue nchi? Kama alishindwa Lowassa pamoja na mtandao wake wote aweze huyu vuvuzela!!??
Membe atagombea kupitia CCM(2020) kwa hio hamna shida.Bora akagombee ubunge jimboni kwake tu, urais amwachie Bernad Membe
"Fungo wa Kimataifa"
"Sisi tuendelee kujifanya kisiwa katika bahari pana ya mahusiano ya diplomasia ya kimataifa,? au tutajirudi na kutambue kwamb sisi ndiyo tunaihitaji dunia kuliko dunia inavyotuhitaji sisi".
Nimesikiliza hotuba yote mwanzo mwisho, nimesoma hotuba yake mwanzo mwisho inatosha kusema kuwa watanzania wanamuhitaji zaidi Lisu kuliko Lisu anavyowahitaji watanzania.
Mungu ibariki Tz, Mungu ibarika Afrika.
Endelea kusoma magazeti ya uhuru na mzareendo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwaka huu lazima utachanganyikiwa sana.
Maamuzi ni wananchi msiwapige mabomu tu.Kazi gani? Huyu kilema kweli achukue nchi? Kama alishindwa Lowassa pamoja na mtandao wake wote aweze huyu vuvuzela!!??
Mpeni urais wa Saccos ya Chadema
Wewe kichwani kwako kuna kinyesi tuMmmmh.. yaani nyinyi wanasaccos nafikiri kwenye vichwa vyenu hamna akili kabisa kuna makamasi tu. Yaani Tundu awe Rais wa Tanzania kama ameshindwa Lowassa!! Ngoja apate pesa za wajinga!
HakikaLissu ni genius kwa kweli....
mipango yake si ya kiukombozi.Huyu ni mtu muhimu sana kwa ukombozi halisi wa taifa letu
Atausikia tu huo Urais! Kamwe hatuwezi kuongozwa na msaliti wa nchi yetu! Go to hell!