Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Soma graph tangu 1992 inapanda au inashuka utapata jibu.
Kilikufa Kanu na Kenya inasonga sembuse,chama kinachobebwa na polisi
Vipi toka 2010 mpaka sasa chadema inapanda au inashuka? Soma graph! Flatenning the curve...
 
Umeongea vyema Sana mkuu Ila Kuna mijitu humu haiwezi kukuelewa,, hata Mimi nikipewa nafasi ya kumushauri TL hakika nitamushauri Kama ulivyoshauri kwa 90%.
 
Kauli za kuita watu MASISIEMU, huwezi msikia mgombea mwenye busara akitumia majina ya ajabu. Hii itamgharimu ila bavicha watabisha.
Pamoja na hoja ysko hiyo, enzi za WaTz kudanganywa kwenye majukwaa ya siasa umepita. Sasa, wanasiasa uchwara, wachumia tumbo kwa kutumia siasa na wenye uchu wa madaraka kufikia malengo yao binafsi, wamehamia kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ambayo wananchi hawawezi kuwafikia. Naamini hotuba ya Lissu akiitoa hadharani kwenye jukwaa la siasa, hatatoka salama kwa kuwa imejaa chuki, lawama na ndoto za alinacha
 
Mahakama imewakuta na hatia?

Ndio iliwakuta/imewakuta/inawakuta na hatia na ndo Maana walikubali kurudisha pesa walizotakiwa kurudisha baada ya kuwasilisha hiari zao kwa DPP.

Mkuu jitahidi kufuatilia Mambo tafadhari..
 
Mbona imetumika gharama kubwa Sana za kupambana nayo kuliko hata kupambana na umasikini
Kwako umaskini ni nini? Jibu kwa kuorodhesha na kuvieleza viashiria vya umaskini (poverty indicators) kwa mifano, ili hoja yako iwe na nguvu.
 
Niwe mkweli, sijaona "Sera" yoyote zaid ya malalamiko.
 
Tuliza wenge!
 
Wacheni kujitekenya na kukenua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…