Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Go Lissu, tupe walau neno la matumaini, zipo dalili za wagombea wengine kufika bei mfalme hataki kelele wala kuomba wananchi.Sijui Lissu na Chadema hamtafika bei kweli!?
 
IMG_2397.JPG
 
Kwa namna alivyopangilia hotuba, ana utulivu wa hali ya juu sana. Ni kweli Magufuri kainyoosha sana nchii ila kuna mahali hajapatendea haki kabisa kabisa kabisa.

Kwa swala la haki za binadamu hapana mwache Lissu aje amejenga hoja nzuri na ya kueleweka zaidi na zaidi, hebu kidogo watupishe tuone na hawa wapinzani wanaweza nini watashindwa nini.

Tukiwa na mabadiliko haya kila baada uchaguzi wa miaka 5/10 hakika speed ya maendeleo haitakuwa hii tena, tutaenda mbali sana sana sana kimaendeleo sijutii wajukuu na vitukuu wangu wataishi kwa raha sana.

Go go lissu, nilichosubiria kwa hamu, nimekipata zaidi ya nilivyotarajia. Be blessed.
 
Katika hali ambayo wengi hatukuitarajia, Mgombea urais kwa CHADEMA Mh. Tundu Lisu ameweka rekodi mpya ya kuvutia watazamaji zaidi ya 750,000 kupitia ukurasa wa FACEBOOK walioweza kujiunga moja kwa moja. Hui inaonyesha ni jinsi gani wananchi walivyokuwa na shauku za kumsikiliza.

Hii ni dalili tosha kuashiria nini tukitegemee siku zamyśleni.
 
Back
Top Bottom