Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Et hatolipiza kisasi huyo ni mtu wa visasi sana lakini pia ata huo uraisi ata upata
 
View attachment 1472025



BAADHI YA ALIYOYAONGEA:

- Naamini ninazo sifa zote shahiki za kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

- Nikipewa nafasi hii na kuchaguliwa, sitolipiza visasi kwa yote yaliyofanywa na walionitangulia. Nitatafuta muafaka wa kitaifa

- Nikipewa nafasi ya kugombea urais na nikashinda, nitahakikisha mihimili ya Dola inakuwa huru

- Uamuzi wa Ndugai kunifutia ubunge haujaniondolea sifa za kuwa mgombea Urais. Aidha, sijawahi kuwa na mashtaka ya aina yoyote yanayoniondolea sifa za kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania
Mbona anaapa mambo ya kisasi inamaana hizo ndio tatizo la kuleta maendeleo
 
Tundu Lissu: Ninaelewa masuala ya Kimataifa kwa mapana sana. Katika mabara yote, Bara la Australia tu ndio sijatembelea

- Nina uwezo wa kuwafuta machozi. Ninaweza kuwatibu machungu mengi mliyosababishiwa. Nikiwa Rais nitafuta Sheria kandamizi zinazoumiza Wananchi
(Maneno kuntu hayo)
 
Serikali acheni uoga,
Kama mnamuogopa sana huyo TAL mngefanya mnavyojua asihutubie lakini sio huu ujinga wa kutushushia kasi ya mtandao watanzania wote..huo ni umama,
Lissu ndio muoga wa kutupwa. Sasa mbona kajifica ubelgiji?
 
Back
Top Bottom