Kwa namna alivyopangilia hotuba, ana utulivu wa hali ya juu sana. Ni kweli Magufuri kainyoosha sana nchii ila kuna mahali hajapatendea haki kabisa kabisa kabisa.
Kwa swala la haki za binadamu hapana mwache Lissu aje amejenga hoja nzuri na ya kueleweka zaidi na zaidi, hebu kidogo watupishe tuone na hawa wapinzani wanaweza nini watashindwa nini.
Tukiwa na mabadiliko haya kila baada uchaguzi wa miaka 5/10 hakika speed ya maendeleo haitakuwa hii tena, tutaenda mbali sana sana sana kimaendeleo sijutii wajukuu na vitukuu wangu wataishi kwa raha sana.
Go go lissu, nilichosubiria kwa hamu, nimekipata zaidi ya nilivyotarajia. Be blessed.