Kwa kuwa hujatoa vigezo vya huyo mwenye majukumu, nashindwa kujibu hoja yako. Ungeeleza, japo kwa ufupi, hayo mazingira rafiki ya kumfanya kila raia anakuwa na uwezo wa kununuaMkuu,mwenye jukumu hilo kuhakikisha jirani za huyo jamaa hapo wanakuwa na nguvu ya manunuzi. Ndio maana ya Rais,kutengeneza mazingira ya kumfanya kila raia anakuwa na uwezo wa kununua.
Uzi umeharibiwa kwa vipi kiasi cha kuomba mods waangalie?Kwa nini unaharibu uzi!?
Mods please angalia huyu jamaa anavyochafua hapa.
Wakati ninyi mnaona ni ujiko, mimi naona AIBU sana! Ebu nikuulize, fomu za kugombea atachukulia huko? Wadhamini ataenda mikoa ya Ubeleji? Kampeni atafanyia huko? Ukiwa na akili timamu, lazima uone aibu kama mimi!!
Wakulaumia kwa mujibu wa hoja yako ni wanaotaka mwafaka au wanaokataa mwafaka?Lissu ni mtu mweye akili sana hasa kwenye nyaja ya sheria; ila alipoingia kwenye siasa, alitumia mlango mbaya sana uliokuwa unaongozwa na hasira, na hivyo akakosa element yoyote ya compromise, ambayo ni ya muhimu sana kwenye siasa. Akaendesha siasa za Ben Mtobwa: Ama zao ama zangu, which doesn't work. Namwonea huruma sana hasa kwa vile bado ana watoto wadogo wa kulea ambao sijui sasa hivi anawatunzaje; nimeona picha ya mtoto aliyochora ama kindergarten au elementary school, na huenda anawalipia kwa michango ya wenye huruma, ambayo inaweza kuwa na effect kwenye prestige yake. Alichokosea Lissu, Zitto na Mbowe ni kuwa ni vizuri siku zotekwenye siasa kuongea vizuri na aliyeshika mpini hata kama hamkubaliani kwenye sera; na kumkosoa kisera siyo lazima umtukane. Wakati wa Operation Thunderbelt ya kuokowa waisralei waliokuwa wameshikiliwa Entebbe, Waziri mkuu wa Israel pamoja na kiongozi wa upinzani walikubaliana hata kabla mada ile haijaenda kwenye bunge; waziri mkuu yule asingemuita kiongozi wa upinzani kuzungumza naye kama angekuwa anajua kuwa atakaidi tu na kutoa matusi
labda kizazi changu cha sita ndio nchi itatawaliwa na upinzani na sidhani kama nitakuwepoMuombe mungu uhai mrefu .
Sijui una maana gani ya "mwafaka" hapa wakati siasa za CHADEMA tangu siku zote ni kupinga kila kianchofanywa na CCM; ni matokea ya kutokuelewa maana ya opposition politics kwa kudhani kuwa kwa kulichukulia neno "opposition" kwa maana ya kiswahili ya "kupinga" bila hata kuwa na hojaWakulaumia kwa mujibu wa hoja yako ni wanaotaka mwafaka au wanaokataa mwafaka?
Ahsante MkuuUlipo pata kinywaji baridi chaguo lako nitakulipia kwa emoney
Narudia tena acha upumbavu,acha Malaya wa kisiasa,ndugu zako wako wanatumia na umasikini wa kutupwa,ndugu zako walio soma hawana ajira,Serikali yako unayoiabudu kuliko Mungu haina hela.Uchumi upi unaozungumzia!Very stupid period.Pole sana,Mkuu. Naona umekwazika kwa kuambiwa ukweli.
Usipaniki, Tulizana, na uukubali kuambiwa ukweli juu ya madhaifu ya huyo unayemshabikia.
Mkuu, hauna haja ya kurusha povu kama yeye, jenga hoja tena uje na takwimu kuonyesha huo uchumi ulivyo sasa na muandalie takwimu nyingine namna atakavyoboresha uchumi fikirishi wakwake. Sasa kama ninyi wafuasi mkipelekwa pelekwa tu na mihemuko ya namna hii nyote mtaangukia pua katika kushawishi wananchi wawaunge mkono.
Tulizana, Mkuu.
Uchambuzi wangu haukuwa kati yangu TAL bali TAL na JPM. CCM hawawezi kujipanga kwa lolote kwakua miongoni mwa point za msingi walizotegemea kuzisikia hazikutajwa hata kwa kejeli tu...Sidhani kama wewe umempita TAL elimu.kwa mwenye akili hili sio LA kukosoa Bali wana ccm tukae chonjo na imara kupinga hoja kwa hoja.we we umelalamika na kuonyesha wivu wa kike.ccm tujipange
Endelea Mkuu,..wanakuelewa sana ila tatizo ni itikadi zao...Uchambuzi wangu haukuwa kati yangu TAL bali TAL na JPM. CCM hawawezi kujipanga kwa lolote kwakua miongoni mwa point za msingi walizotegemea kuzisikia hazikutajwa hata kwa kejeli tu...
Nitakupa mifano michache
1. Rais Magufuli ameanzisha miradi mikubwa mingi sana counter attack ilitakiwa Mfano fedha anazoendeshe miradi hizo ni mkopo toka nje ya nchi yenye riba kubwa hapo wananchi wangehisi huyu mtu lipo jambo analifahamu
2. Dunia inadanganya kwamba uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi ya 7% kwa mwaka atueleze sababu za dunia kudanganya hilo.
3. Serikali inanyanyasa wakulima wadogo wadogo na wafanya biashara ndogo ndogo pia atuambie ni wakulima wa zao gani wadogo na wafanya biashara walionyanyaswa.
4. Wizara ya Afya kwamba bado pamoja na Serikali kusema imeongeza bajeti ila bado hospitali hakuna dawa wala huduma hizo za afya hazijaboreshwa
5. Akusie kuhusu elimu kwamba Serikali inawadanganya wananchi kwamba inatoa elimu bure ile sisi Wazazi bado tunalipa ada na mifano
Na mwisho
Atuambie wanafunzi wa elimu ya juu hawapati mikopo inayoelezwa bali ninusanii mtupu.
SIO
Unakuja na Manung'uniko kuwa watu wanateswa wanakufa maiti zinaokotwa baharini shida ni kwamba Tanzania ina Mikoa 31 matukio hayo yamefanyika katika Mikoa au Wilaya Tatu au nne tu! Unadhani hiyo ni hoja ya kukupa milage ya watu kutaka kukusikiliza?
Uli Lushindo geteWewe ndie funza kabisa
Alishakuwa rais wa Tanzania huyo Mandela?Kwani Mandela alitangazwa na nani? Acha kuufunga ubongo wako
Kwahiyo unakuwa muovu makusudi kwasababu hutakuwepo? Kina William Shakespeare wangekuwa hivi uingereza isingekuwa ilivyo Leo.labda kizazi changu cha sita ndio nchi itatawaliwa na upinzani na sidhani kama nitakuwepo
Rudia kusoma verse hujaelewaHuyo mliyempa akaisiginya katiba na Sheria kwa kumteua Naibu Rais Daud Bashite kienyeji na kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge Mbona hujaona mbele giza?
Usitemee watu mate, Mkuu. Points zako tunazihitaji bila wewe kulowanisha kofia ya "Lord Lofa". Ha ha haaaa haa. Jioni njema kama upo Africa Mashariki na Asubuhi njema kama upo bara la Amerika.Narudia tena acha upumbavu,acha Malaya wa kisiasa,ndugu zako wako wanatumia na umasikini wa kutupwa,ndugu zako walio soma hawana ajira,Serikali yako unayoiabudu kuliko Mungu haina hela.Uchumi upi unaozungumzia!Very stupid period.
Heri huyu mlemavu wa miguu kuliko mwezake mlemavu wa kichwaniKazi gani? Huyu kilema kweli achukue nchi? Kama alishindwa Lowassa pamoja na mtandao wake wote aweze huyu vuvuzela!!??
hujanielewa maana yangu !Kwahiyo unakuwa muovu makusudi kwasababu hutakuwepo? Kina William Shakespeare wangekuwa hivi uingereza isingekuwa ilivyo Leo.