Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,113
- 2,656
Amina 🙏🏾MUNGU WETU NI MWENYE MACHO, ANAYAONA MAOMBI YETU SOTE! ANAYAONA MACHOZI YETU SOTE! KAMA KWELI HATA CCM MUNGU WAO NI HUYOHUYO, BASI NA TUZIDI KUMUOMBA AKATENDE KWA HAKI! WASHINDWE NA WALEGEE WOTE WENYE HILA NA MBINU CHAFU!
MUNGU WETU NI MWENYE MACHO, ANAYAONA MAOMBI YETU SOTE! ANAYAONA MACHOZI YETU SOTE! KAMA KWELI HATA CCM MUNGU WAO NI HUYOHUYO, BASI NA TUZIDI KUMUOMBA AKATENDE KWA HAKI! WASHINDWE NA WALEGEE WOTE WENYE HILA NA MBINU CHAFU!
Hataupata kwakua wewe hutaki a upate, akiupata itakupunguzia nini?Et hatolipiza kisasi huyo ni mtu wa visasi sana lakini pia ata huo uraisi ata upata
Mbona anaapa mambo ya kisasi inamaana hizo ndio tatizo la kuleta maendeleoView attachment 1472025
https://www.facebook.com/
BAADHI YA ALIYOYAONGEA:
- Naamini ninazo sifa zote shahiki za kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
- Nikipewa nafasi hii na kuchaguliwa, sitolipiza visasi kwa yote yaliyofanywa na walionitangulia. Nitatafuta muafaka wa kitaifa
- Nikipewa nafasi ya kugombea urais na nikashinda, nitahakikisha mihimili ya Dola inakuwa huru
- Uamuzi wa Ndugai kunifutia ubunge haujaniondolea sifa za kuwa mgombea Urais. Aidha, sijawahi kuwa na mashtaka ya aina yoyote yanayoniondolea sifa za kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania
Sawa Mhe, Baada ya uchaguzi ufute zile sheria za waheshimiwa kujilinda!
Lissu ndio muoga wa kutupwa. Sasa mbona kajifica ubelgiji?Serikali acheni uoga,
Kama mnamuogopa sana huyo TAL mngefanya mnavyojua asihutubie lakini sio huu ujinga wa kutushushia kasi ya mtandao watanzania wote..huo ni umama,