Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Hotuba nzuri sana
 
Pamoja sana, mimi na wanachama wenzangu 60000 tumehama leo kutoka ccm na kujiunga na cdm mara tu baada ya kumsikiliza mh Lissu
Naungana na Lissu Uraisi 2020 kwa raha zangu!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nipo hapa nyamanoro mwanza wana ccm kibao wanaenda ofisi za cdm kujiunga na chama baada ya hotuba ya mh Lissu
 
Kwani Yale ma turkey yaliyopack pale Mwalimu Nyerere International Airpot yana waongezea nini zaidi ya kodi kutumika kuyanunua?
Kwa kuwa ni Tanzania pekee ndiyo wamenunua hizo ndege mkuu! Huko Kwa wengine Kwa sasa yamepaki yanawaongezea nini
 
Ila acheni jamani, Lissu anajua.

Honestly speaking this is the best speech ever.

Yaaani sidhani kama Mzee Magu anaweza kutoa hotuba Nzuri iliyotulia na inyoshawishi Kama ya Lissu.

Naunga Mkono hoja. Lissu for presidency 2020
Mungu ni mkubwa
 
Restore The Soul of Tanzania Our best days still lie ahead. Go Lissu Go! 2020 President!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…