Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Huruma gani hapa? Kwani kazuiwa kuja nchini? Mwambieni aendelee kujifariji na nyie mnazidi kum pampu ataambulia sifuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni mtanzania mwenzetu!! Aje achangie maendeleo ya nchi yake!!

Agombee uraisi na ikutupendeza watanzania tumpe atuongoze kwani shida nini!!

Sifa kubwa ni utanzania.

Watanzania tunahitaji ukarabati ili tuutukuze utanzania wetu na sio itikadi zetu!!

Usimchukie mtu kwa ajili ya tofauti za kidini, kikabila, wala kiitikadi!!

Tupendane tuwe pamoja pamoja na tofauti zetu tuheshimiane tutangamane na tupendane!

Hizi tofauti ni muhimu sana kwa ustawi wetu!!

Vyamba mbalimbali, dini mbali mbali, kabila mbalimbali ila UTANZANIA kwanza!!

Njoo ndugu yetu na mtanzania mwenzetu Tundu Lissu, Gombea urais, na wengine wanaojiona wanatosha ruksa!!

Haki hulisimamisha taifa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Akumbuke wasiojulikana wako stand-by, wanamsubiri arudi nchini ili safari hii wamkate ulimi ili asiongee kabisa.
 
Urais hauapatikani kwa kutajwa mitandaoni kamanda! Unapatikana kwa mikakati.

Wakati nyie mnashangilia jina la Lisu mitandaoni, ccm wako field kupanga mikakati ya ushindi.
Mtaelewa lini nyie bavicha?

Kwanini Mwenyekiti wenu Magufuli hataki kuruhusu UWANJA(FIELD)SAWA KWA WOTE ili kila mmoja apange mikakati ya Ushindi?
Magufuli anaogopa nini toka Wapinzani ilhali yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na vyombo vote vya Ulinzi na Usalama viko chini yake?
Unapiganaje na wapinzani wako ilhali umewafunga mikono? That'll be never a fair ground/field to compete...!
 
L
Lakini unajua sababu za yeye kuwa huko mafichoni siyo au haujui nini kilimpeleka huku ukada usikupofushe kiasi cha kukosa ubinadamu wengi ambao tuna miaka zaidi ya 50 tumecheza chipukizi tumeimba nyimbo za kusifu chama sana siyo wewe tu unakijua au kifuata chama bali tuweke ubinadamu mbele
Aje sasa kama anajiona shujaa. Anasubiri nini?
 
Wewe mwenyewe ni mbumbumbu juha kilaza hujielewi unawezaje kujua alichokisema Tundu lisu?

Kajamaa akili imeruka kabisa daah ....wakosha kweliii..., kaorodhesha issues kilofa lofa tu. Atakuwa Kenya kwa kampeni
 
Hoja ya kupambana na rushwa safari hii hauna mpango nayo?
 
Maneno yenye busara sana hayo
Ni myanzania mwenzetu!! Aje achangie maendeleo ya nchi!
Agombee uraisi na ikutupendeza watanzania tumpe atuongoze kwani shida nini!!

Sifa kubwa ni utanzania. Watanzania tunahitaji ukarabati ili tuutukuze utanzania wetu na sio itikadi zetu!!
Usimchukie mtu kwa ajili ya tofauti za kidini, kikabila, wala kiitikadi!!

Tupendane tuwe pamoja pamoja na tofauti zetu!!
Hizi tofauti ni muhimu kwa ustawi wetu!!

Vyamba mbalimbali, dini mbali mbali, kabila mbalimbali ila UTANZANIA kwanza!!

Njoo ndugu yetu na mtanzania mwenzetu Tundu Lissu, Gombea urais, na wengine wanaojiona wanatosha ruksa!!

Haki hulisimamisha taifa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwanini Mwenyekiti wenu Magufuli hataki kuruhusu UWANJA(FIELD)SAWA KWA WOTE ili kila mmoja apange mikakati ya Ushindi?
Magufuli anaogopa nini toka Wapinzani ilhali yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na vyombo vote vya Ulinzi na Usalama viko chini yake?
Unapiganaje na wapinzani wako ilhali umewafunga mikono? That'll be never be a fair ground/field to compete...!
Hqhahhaha.. Mtaishia kulalama hivi hivi. Yani haya maneno yako yanaonesha ni jinsi gani mmejiandaa na lalamiko la kuibiwa.
 
Kutoka ICU baada ya kutamdikwa risasi 16 hadi kuwa shujaa hapo pana mkono wa mungu.

Watanzania tuitumie hii tunu kutoka kwa mungu ili tuweze kujikomboa chini ya uongozi makini wa mh Lissu
We shall overcome. AMEEN
 
O
Hqhahhaha.. Mtaishia kulalama hivi hivi. Yani haya maneno yako yanaonesha ni jinsi gani mmejiandaa na lalamiko la kuibiwa.

Hivi we Taga unajua unachoongea?Haya siyo malalamiko baali ni Haki ya msingi kwa kila Chama na iko ndani ya Katiba ya JMT!
 
Aje sasa kama anajiona shujaa. Anasubiri nini?

Wasiojulikana wako Airport wanamsubiri na Serikali ya Jiwe inawajua uzuri lakini imekaa Kimya!! Marekani kimenuka baada ya mauaji ya George Floyd! Sasa tunataka TAL-2020 for Presidency arudi halafu hao wanaojifanya HAWAJULIKANI wathubutu kumgusa Tundu Lissu....Nina Haki Tanzania itakuwa kama Marekani na itasambaa dunia nzima! Muda utaongea.
 
Back
Top Bottom