Meshe
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 386
- 479
Huruma gani hapa? Kwani kazuiwa kuja nchini? Mwambieni aendelee kujifariji na nyie mnazidi kum pampu ataambulia sifuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtanzania mwenzetu!! Aje achangie maendeleo ya nchi yake!!
Agombee uraisi na ikutupendeza watanzania tumpe atuongoze kwani shida nini!!
Sifa kubwa ni utanzania.
Watanzania tunahitaji ukarabati ili tuutukuze utanzania wetu na sio itikadi zetu!!
Usimchukie mtu kwa ajili ya tofauti za kidini, kikabila, wala kiitikadi!!
Tupendane tuwe pamoja pamoja na tofauti zetu tuheshimiane tutangamane na tupendane!
Hizi tofauti ni muhimu sana kwa ustawi wetu!!
Vyamba mbalimbali, dini mbali mbali, kabila mbalimbali ila UTANZANIA kwanza!!
Njoo ndugu yetu na mtanzania mwenzetu Tundu Lissu, Gombea urais, na wengine wanaojiona wanatosha ruksa!!
Haki hulisimamisha taifa
Sent from my iPhone using JamiiForums