Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Maamuzi ni wananchi msiwapige mabomu tu.
Ni heri kilema wa mwili kuliko mlemavu wenu wa akili penye akili utumia nguvu utadhani yupo shambani.
Mtasubiri sana nyinyi naona hata hamuwaelewi viongozi wenu walishawaambia kuwa mkishindwa kupata nchi 2015 itachukua 50 years kujipanga tena kuja na mikakati ya kuchukia nchi. Hivyo subirini baada ya miaka 50 kama mlivyoambiwa na viongozi wenu.
 
Watanzania woote wapo tayari kumchagua mh Lissu, labda wewe bakia huko shimoni
Sasa kuna kipi cha maana alicho ongea huyo muuni wako hapo?
Zaidi kalalamika tuuu, utafikili kalazimishwa kugombea.
Huyo ni Rais wa mtandaoni tu na itabaki kua hivyo si vinginevyo.
 
Tundu lissu bila kuwa na back up ya mabeberu nyuma yake kuwa rais itakuwa ni ndoto
 
Kazi gani? Huyu kilema kweli achukue nchi? Kama alishindwa Lowassa pamoja na mtandao wake wote aweze huyu vuvuzela!!??
Ndio walemavu/vilema wote nchi nzima wajue jinsi gani CCM haihitaji kura zao kwny uchaguzi wa 2020.

Kwa hio hawa walemavu hapo chini wao hawawezi kua ma-rais wa Tz sio?

Balozi wa Tz kule Germany Balozi Abdallah Posi-mlemavu wa Ngozi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA Mh. Amoni Mpanju-Mlemavu wa Macho

Balozi wa Tz kule Sweden Dr. Slaa-mlemavu wa Mkono
 
Hotuba imemuumbua sana...! Bado Lissu anafikira za kiharakati. Uharakati haulipi katika masuala mazito yanayohusu nchi.

Masuala mazito yanayohusu nchi yanahitaji, Mipango, Mbinu bora kabisa ya kutekeleza mipango hiyo kwa weledi wa hali ya juu, bila kuwasahau mikakati mizito ya kulinda matokeo chanya yaliyotokana na utekelezaji wa mipango husika.

Kuonyesha, Lissu kaabika yeye na wale wanaomshabikia katika harakati zake za kutimiza ndoto zake binafsi, ni namna alivyoelezea suala la uchumi. Kwa yeyote anayejielewa, anaweza kukubaliana na mimi kuwa Lissu kushindwa kujadili suala la Uchumi kwa kutumia takwimu. Lissu (ambaye amepona sasa, na Mshukuru Mungu kwa hili ambalo nililiombea ili aje aone jinsi Tanzania inavyipiga hatua kiuchumi na kijamii), ameshindwa kuonyesha udhaifu wa kiuchumi wa nchi yetu anaoufikiria yeye na pia kashindwa kuonyesha kwa namna gani ataboresha uchumi huo wake wa kufikirika kwa kutumia takwimu.

Kwa kipengere hicho tu nasema Lissu amewaabisha mashabiki wake, yeye na chama anachowaza kukitumia kutimiza matakwa yake binafsi.

Yangu ni hayo.
Mpuuzi mkubwa ww, hotuba ile unaweza kuilinganisha na ya kilaza wa chatto??
 
Ila kwanza wangesubiri wajipange vizuri then 2025 wangepiga kishindo.. Wangepata muda kwanza wa kuimarisha umoja wao Act + Chadema +Cuf... .. (ACC) Then wangeingia ulingoni
 
Ndio walemavu/vilema wote nchi nzima wajue jinsi gani CCM haihitaji kura zao kwny uchaguzi wa 2020.

Kwa hio hawa walemavu hapo chini wao hawawezi kua ma-rais wa Tz sio?

Balozi wa Tz kule Germany Balozi Abdallah Posi-mlemavu wa Ngozi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA Mh. Amoni Mpanju-Mlemavu wa Macho

Balozi wa Tz kule Sweden Dr. Slaa-mlemavu wa Mkono
Hopeless comment. Nimesema mlemavu Lissu changanya akili baai
 
Hotuba Imeenda Shule, Imejaa NONDO za Perspective ,Pale kichwani Kuna kitu.
 
Endelea kumkufuru mwenyezi mungu na bila shaka atakujibu na utayakumbuka maneno haya siku ya nne ukiwa moi baada ya mwendo kasi kukufanyia yake
Hopeless comment. Nimesema mlemavu Lissu changanya akili baai
 
Back
Top Bottom