Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Naona mshatumiwa buku 7 na sasa mmeanza kazi🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila takwimu uelewekeje?Hakutuahidi kuua uchumi, kuwazurumu wakulima korosho zao kuingiza nchi katika dimbwi la umaskini uliokithili.
Nyomi sio kigezo cha ushindi.Lissu hana ubavu wa kushindana na Magu.kashindwa Edlow,magufuli akiwa bado hajawa Rais.sembuse wakati huu Magu ni Rais?.Sauti iko chini, tunachukua mrejesho wa jinsi mlivyopanic. Iwapo ccm watafanya kosa la kumuachia Lissu kushiriki kampeni, nina hakika hata ccm ikishinda, kutatokea mabadiliko makubwa sana kwenye katiba yetu. Ngoja uone wakati wa kampeni mtaona hilo nyomi lake. Anayekubalika anakubalika tu.
Haya Jenga hoja sasaMpiga kura atakuwa mama yako mzazi usihofu
Mtabaki kulialia kila siku kwa kujitakiaMimi ni mtanzania na nitampigia kura Lissu akipewa ridhaa na CDM.
Una swali la nyongeza?
MAtaga unajiona una akili timamu?Kama sio huru mnashiriki uchaguzi wa nini? Kama sio ukiazi ni Nini?
Wewe ndiye unalialia na kuwashwawashwa na mambo ya CDM, si urudi tu ukawaombe msamaha, mbona unajitesa sana?Mtabaki kulialia kila siku kwa kujitakia
Akili kama hizi ndio zinasababisha wazungu wawaone waafrika binadamu wa daraja la chini kiakiliMwenye kitu sikuzote si mwenzako.Mmoja ana dola mwingine hata ukoplo tu hana.
Naona mshatumiwa buku 7 na sasa mmeanza kazi[emoji1787][emoji1787]