Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Sauti iko chini, tunachukua mrejesho wa jinsi mlivyopanic. Iwapo ccm watafanya kosa la kumuachia Lissu kushiriki kampeni, nina hakika hata ccm ikishinda, kutatokea mabadiliko makubwa sana kwenye katiba yetu. Ngoja uone wakati wa kampeni mtaona hilo nyomi lake. Anayekubalika anakubalika tu.
Nyomi sio kigezo cha ushindi.Lissu hana ubavu wa kushindana na Magu.kashindwa Edlow,magufuli akiwa bado hajawa Rais.sembuse wakati huu Magu ni Rais?.
Tena Rais wa karne,Full maendeleo
 
Kumekucha. Matumbo yameanza kuvuruga siyo? Mtaharisha usiku kucha leo. Ngoja niwape ujanja: Kula mkate mkavu.
 
Mkuu ni kweli ila kwa watu wenye timamu vizuri hawezi kumpigia Magufuli kula hao ni walimu, wafanyabiashara, wanafunzi wa Elimu ya juu, wastaafu na wengine wengi tu makundi tofauti tofauti,
Magufuli kula atakazo pata nyingi ni zile za mambumbu wa vijijini wasio jua hili wala lile, ila kuna baadhi ya watu wa vijijini ni wafutiliaji wa mambo na ni watu makini hawa ni wachache sana.
 
Hao wananchi uliongea nao lini au ulifanya research lini wakakwambia wameridhika na utendaji wa Magufuli.

Watu hawana pa kusemea na wamefungwa midomo kusema kwa kujazwa hofu. Kwaiyo ukimya wa watu kwa kuhofia kupata misukosuko ya serikali ndo umeona kuridhika huko.
 
Nimemwangalia Mtanzania mwenzangu akizungumza kupitia Facebook huyu mtu anatia huruma anahitaji msaada wa kisaikolojia
Mbaya zaidi amekosa washauri wazuri amezungukwa na watu wanaomjaza uwongo eidha kwa makusudi au kutokujua

Ukiangalia body language unagundua huyu ndugu hayupo sawa

Upo nje ya Nchi unatoa shutuma za uwongo kwa Rais hujui Rais anawafuasi wangapi nyuma yake?

Upo nje ya Nchi unabeza vyombo vya ulinzi na usalama! Unategemea ukija ndio wakulinde

Upo nje ya Nchi unabeza Tiss! hapo unasema serkali inipe ulinzi

Ndugu zangu wa Chadema kwanini mnamtesa lissu kiasi hicho!

Lissu ukimtazama akili ya afya hayuko sawa anahitaji tiba ya kisaikolojia kwa zaidi ya mwaka
Mshaurini huyo Mtanzania mwenzetu anatia huruma
 
Back
Top Bottom