Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #161
unaweza kutumia mashine nzuri ya kusaga na ukatoka unga mbaya, nkimaanisha kila mbegu ya mahindi znatafautiana na ndo znaamua ugali utoke vp
- TSMS kwenye GPU hawapo sana zaidi wanadeal na semi conductors ambazo zko pia kwenye GPU but hazina uhusiano na kuamua NVIDIA ama AMD awe bora, kuna kitu unachanganya apa, kwanza unatakiwa kuelewa ili AI iweze kufanya kazi inatakiwa kua na nini ndo tutafika conclusion, labda nkuulize ili AI iweze kurun inahitaji hardware gan na gan
chagua GPU card yoyote ya huawei unaotaka alafu njoo na idadi ya cores zake then mjadala utakua umeeleweka vizuriGPU ya Huawei inacompete vizuri tu na NVIDIA kwenye performance
it doesnt matter, hata simu hazipo manufactured 100% na kampuni husika, we all know iphone anategemea camera kutoka sony, touch screen na battery kutoka samsung! its very common huezi kudesign best screen, battery na camera at same time itakua sio kiwanda tena bali nchi hioPoint yetu iko kwenye fabrication tusitoke kwenye hii mada
Swali ni kwa nini NVIDIA, AMD na Qualcomm hawawezi kufanya fabrication?
Ndio maana nasema U.S semiconductors companies ni fabless
chagua GPU card yoyote ya huawei unaotaka alafu njoo na idadi ya cores zake then mjadala utakua umeeleweka vizuri
it doesnt matter, hata simu hazipo manufactured 100% na kampuni husika, we all know iphone anategemea camera kutoka sony, touch screen na battery kutoka samsung! its very common huezi kudesign best screen, battery na camera at same time itakua sio kiwanda tena bali nchi hio
great:Unaonaje ukija kuna na hizo cores, halafu tuje kwenye mjadala mbona simple sana
huawei ni over rated company, kila kukiwaga na battle yupogo mbele kwenye headlings, remember when android was banned in china and they came up with harmony OS wakisema is better than android, wakawalipa youtubers kuanza kufanya review? its 10 years nowSwali ni fupo sana ila maelezo marefu mno hatuhitaji maelezo marefu
Kwa hiyo kwa hapo Huawei iko mbele ya Nvidia na the likes of inapokuja kwenye kudesign na fabrication?
Huawei Ascend 920 amna sehem wameweka cores zao public however H200 has almost 18,500 cores, however these cores are CUDA cores meaning you have 18,500 employees to do a single work, thats insane fast, so what i did i used grok to make a comparison since huawei hajaweka public data zaoUnaonaje ukija kuna na hizo cores, halafu tuje kwenye mjadala mbona simple sana
the only chip that will race against NVIDIA is the one with CUDA alternative otherwise the GPU is merely a gaming box, cha kwanza ni CUDA alafu znafuata sasa mbwembwe zingineUnaonaje ukija kuna na hizo cores, halafu tuje kwenye mjadala mbona simple sana
huawei ni over rated company, kila kukiwaga na battle yupogo mbele kwenye headlings, remember when android was banned in china and they came up with harmony OS wakisema is better than android, wakawalipa youtubers kuanza kufanya review? its 10 years now
Sahihi kabisa, hata Boeing anatengeneza parts nchi na viwanda tofauti vingi sana, Canada, UK, India nk wote wana supply components kwa Boeing. Hakuna kampuni iko inajitegemea kwa kila kitu kwenye manufacturing industry.it doesnt matter, hata simu hazipo manufactured 100% na kampuni husika, we all know iphone anategemea camera kutoka sony, touch screen na battery kutoka samsung! its very common huezi kudesign best screen, battery na camera at same time itakua sio kiwanda tena bali nchi hio
Kumbe huawei wana fabrication plant? huawei anaizidi vp nvidia?Kwa hiyo Huawei iko mbele ya Nvidia inapokuja kwenye designing na fabrication?
Kwa hiyo ulikuwa unabishana kitu ambacho hauna details zake sio?Huawei Ascend 920 amna sehem wameweka cores zao public however H200 has almost 18,500 cores, however these cores are CUDA cores meaning you have 18,500 employees to do a single work, thats insane fast, so what i did i used grok to make a comparison since huawei hajaweka public data zao
View attachment 3317229
View attachment 3317230
View attachment 3317231
View attachment 3317232
View attachment 3317233
no wonder unajiita xijin ping unawapenda wachina sana, hao wazee wa propaganda, ukiwaskiliza unaweza hisi dunia kesho ndo mwisho ama kesho wachina wanachukua dunia, they are advanced kwenye level za nchi zingine ila in terms of US VS CHINA, bado sana mzee wangu yaani ata usihangaike kucompare tech za china na US
Kumbe huawei wana fabrication plant? huawei anaizidi vp nvidia?
Sahihi kabisa, hata Boeing anatengeneza parts nchi na viwanda tofauti vingi sana, Canada, UK, India nk wote wana supply components kwa Boeing. Hakuna kampuni iko inajitegemea kwa kila kitu kwenye manufacturing industry.
Nilidhani huawei wanatumia SMIC hata hizi Ascend 910C zinaenda kutengenezwa na SMIC kutumia 7nm node basi ni vizuri maana ni muundo wa biashara uliowashinda AMD na kuiuza GlobalFoundry(walikuwa wanasema real men have fab) na kubaki kudesign, unaweza ukanipa linki nipitie fabrication plant ya Huawei? na namna huawei ilivyo bora kuliko nvidia?Huawei wanadesign na kufanya fabrication
izo ndo latest powerful chips zilizo sokon saaahv, huezi zungumzia ukubwa wa samsung kwa kutumia samsung ya zamanKwa hiyo ulikuwa unabishana kitu ambacho hauna details zake sio?
Na mjadala kwenye uzi unalenga H100 na Ascend 910C. Sio Ascend 920C na H200
Lete sasa cores za Ascend 910C na H100
Huawei wanadesign na kufanya fabrication
hakuna kampuni inaweza jitegemea sheikh xi jinping, hio itakua nchi sio kiwanda tenaKwa hiyo Huawei iko mbele ya Nvidia inapokuja kwenye designing na fabrication?