Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
Umehamia wapi mkuuNiliachana nao mwaka jana...
Internet banking ni ya kubembeleza mno, andika barua kama walivyoshauri...ukifuatilia unaambiwa andika barua, nikajiuliza, ya kwanza mmepoteza? Fomu nilizojazishwa zilienda wapi?
Nikaenda branch 3 tofauti, stori ni ile ile...wakanipa mtu wa kushughulikia, akanipigia, nikamueleza, akasema tukutane j'1, eti hayupo na mi nshafika branch...ila stori ni zile zile!
Nikahama mazima, benki X, nafanya transactions online, free!