Umehamia wapi mkuu
 
Siku Vodacom Mpesa wakianzisha pochi la biashara kama kenya. Kwamba unaweza kaa mwezi mzima bila kushika cash ndo watateka watu wengi.

Sema kwenye government kuna watu wa hovyo wanauduscourage kwa kuweka matozo kwenye lipa kwa mpesa
Sijui kwanini wanachelewa. Wapo chini sana kwenye mambo ya product development. Kule Kenya kuna hadi huduma unamtumia mtu salio bila juna wala namba yako kuonekana kwa uliyemtumia
 
Wauza mahotpot kariakoo
 
Nilishaachana nayo,benki ina foleni hio 😀😀😀
 
N
Nilishaacha manyoya kitambo sana kwenye hiyo bank, waliniibia pesa yangu fln hv, ikabidi niwapigie huduma kwa wateja sababu nilikuwa mbali na bank ilipo

Nilichojibiwa mungu ndiye anajua

Ikanibid niachane nao mazima
 
Hivi kuna bank bora tanzania kwa sasa kuliko crdb?
Yes, wanaweza kuwa na matatizo ya hapa na pale lakini wako vizuri.

Je unajua huduma za simbanking/internet banking. Mtandao wake unatolewa na vodacom?
CRDB benki huduma ni mbovu sana japo wanakata bills nyingi kwa mteja. Hii siyo sawa hata kidogo Sishauri watanzania wenzangu wajiunge na hii benki.
 
Hivi kuna bank bora tanzania kwa sasa kuliko crdb?
Yes, wanaweza kuwa na matatizo ya hapa na pale lakini wako vizuri.

Je unajua huduma za simbanking/internet banking. Mtandao wake unatolewa na vodacom?
Mie mwwnyewe crrdb ndo bank yangu nina account postal, na nmb ila crdb nipo kwa sababu ya huduma zao nzuri
 
Hivi kuna bank bora tanzania kwa sasa kuliko crdb?
Yes, wanaweza kuwa na matatizo ya hapa na pale lakini wako vizuri.

Je unajua huduma za simbanking/internet banking. Mtandao wake unatolewa na vodacom?
Mie mwwnyewe crrdb ndo bank yangu nina account postal, na nmb ila crdb nipo kwa sababu ya huduma zao nzuri
 
Siku Vodacom Mpesa wakianzisha pochi la biashara kama kenya. Kwamba unaweza kaa mwezi mzima bila kushika cash ndo watateka watu wengi.

Sema kwenye government kuna watu wa hovyo wanauduscourage kwa kuweka matozo kwenye lipa kwa mpesa
Benki za wazawa Tanzania zinaishi kwa pumzi ya serikali na regulations za BoT.
Sekta ikiamuliwa iwe huria na mazuio yapunguzwe ni benki chache zitasimama. Wana mazoea na kutojituma kwingi.

Kwanza ni benki zote matawi yote yana upungufu wa wafanyakazi, madirisha manne hayawezi kuwa na wahudumu wote hata mara moja, benki zote wafanyakazi wake wanapata overtime. Benki zote ikifika saa kumi jioni wanafunga na kuingiza watu ndani na kuzuia wengine kuhudumiwa eti "muda umeisha".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…