Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ondoka tu hatukutaki go f.. yourself Cc ephen_Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma.
Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha huduma? Ni Bora tuelekee kwenye benki za kigeni sasa maana watanzania wenzetu mmetuangusha. Mpo faster sana kukata bills kwaajili ya account services lakini kwenye kumuhudumia huyo mteja mmeshindwa.
Naondoka hii benki haifai na sishauri mtu awe mteja benki hii. Ukiendelea just do it at your own risk.
CRDB Mbezi Luis, Makumbusho, Tabata Bima wote kuna madirisha unakuta yako wazi mpaka unajiuliza labda wameenda lunchBenki za wazawa Tanzania zinaishi kwa pumzi ya serikali na regulations za BoT.
Sekta ikiamuliwa iwe huria na mazuio yapunguzwe ni benki chache zitasimama. Wana mazoea na kutojituma kwingi.
Kwanza ni benki zote matawi yote yana upungufu wa wafanyakazi, madirisha manne hayawezi kuwa na wahudumu wote hata mara moja, benki zote wafanyakazi wake wanapata overtime. Benki zote ikifika saa kumi jioni wanafunga na kuingiza watu ndani na kuzuia wengine kuhudumiwa eti "muda umeisha".
Wana huduma mbovu sana kwa watejaN
Nilishaacha manyoya kitambo sana kwenye hiyo bank, waliniibia pesa yangu fln hv, ikabidi niwapigie huduma kwa wateja sababu nilikuwa mbali na bank ilipo
Nilichojibiwa mungu ndiye anajua
Ikanibid niachane nao mazima
Labda wanakukopesha mikopo ya biashara sisi tutajuaje. Hii benki inatutesa mkuu kwanini hamna huruma?Kaka mimi mkulima huku Msanga Kisarawe.
AngalauHofu ya Mungu kwenye hela...sidhani.
Asante sana kakaHongera kama wewe unahudumiwa vizuri kuliko sisi .
Hata Equity wako vizuri... kufungua ACC na kupata kadi same day, tena masaa machache tuu...simbanking pia iko very fastNi heri kwa sasa tutumie benki za nje hawa ABSA nimeambiwa wako vizuri kiasi nitaenda huko. Au niende mkombozi au amana kidogo benki za dini hawana umangi mezani.